Jamaa asheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kula nyama aina ya 'Cobra'

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mwanaume mwenye umri wa makamo kutoka Uganda amewaduwaza wengi baada ya kumuua nyoka wa aina ya cobra na kumla siku yake ya kuzaliwa

Kenneth Odiom ambaye ni mkaaji wa kijiji cha Kwapa katika wilaya ya Tororo anasemekana kughadhabishwa na nyoka huyo ambaye alidai aliua mojawapo ya kuku wake.
 
Huu uzi bila picha ni sawa na kusikia taarifa ya habari TBC bila kuona habari ya Ccm.
 
Back
Top Bottom