Juzi juzi tumekuwa na mjadala ambao haukuhitimishwa juu ya ubora wa elimu yetu, mjadala huu uliibuka kama kimbunga na ukapotea kama kimbunga bila kutoa majibu ya changamoto zinazotukabili juu ya...
Siku ya Jumapili kule kijijini kwetu ilikuwa ndio siku ya "show off"; hii ndio ilikuwa siku ya kuvaa vizuri. Kabla utaratibu wa kuwafuata waumini walipokaa ili watoe sadaka, wale watanashati wa...
Wito kwa viongozi wetu watukufu , tuzidi kukumbushana tu muwe na human face ili tuilinde na kufurahia nchi yetu vizuri.
hivi kuna mstaafu atamaliza pension yake ndani ya miaka kumi na mbili kweli...
MISAADA: JE NI PICHA YENYE SURA MBILI?
Am just curious!!!
Ni nani hasa anapaswa kubeba sura ya mpewa msaada. Inajulikana wazi hawa wenzetu hawatupi misaada bure kama wanavyojinasibu, they demand...
Habari za jioni ndugu zangu wa jamiiforum, kuna kitu huwa nakiwaza sana na kwa muda mrefu kidogo bila kupata majibu sahihi, nikaona ngoja niwaulize nyie ndugu zangu labda mnaweza kujua au kutoa...
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imewaonya wasimamizi 'Admin' wa makundi ya Whatsapp yaliyoundwa kwenye simu za mkononi kwa kutosimamia maadili ya wanachama.
Makundi hayo ambayo huanzishwa...
Wananchi/Wakulima wa Korosho wenye hasira kali wamelichomba Moto Shamba la Korosho la Mbunge wa Kigoma Mjini lilioko eneo Mangamba Mkoa wa Mtwara Mjini.
Wakulima hao wamechukua hatua hiyo...
CHAMA Kikuu cha Ushiriki Tandahimba na Newala (TANECU) kinakusudia kuanzisha kiwanda chake cha kubangulia korosho i kapo mwakani ili kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli za kuhakikisha...
Mpango wa ujenzi wa jiji la sayansi, teknolojia na ubunifu katika wilaya ya Chunya mkoani Mbeya unatoa fursa nyingine ya kiuchumi kwa watanzania na wakaazi wa mkoa wa Mbeya. Katika wakati ambapo...
Watumishi mpo?
Awali mliambiwa uhakiki ukikamilika watumishi mtakula mishahara minono na madaraja hayatakuwa na figisu Figisu.
Sasa uhakiki .........weeeeee Wameibuka na APROVER.
Kwamba kuna...
Mahakama Kuu kanda ya Tabora leo imemhukumu kwenda Jela miaka Thelathini, Sadick Jafary aliyetiwa hatiani kwa kumbaka binti yake mwenye umri wa miaka kumi na sita na kisha kumsababishia ujauzito...
Haiwezekani na haiingii akilini kabisa Mwandishi wa Habari ' Professional ' na ' Critical ' kabisa ukapoteza muda wako wa thamani kukimbilia katika Press Conferences za Kiongozi wa Wendawazimu...
Na.amiri kilagalila
mc.amiri/mr.mtaani
Mtoto anayekadiliwa kuwa na Umri wa Miaka miwili Ambaye Hajajulikana Jina Lake Amekutwa Akiwa amefariki na kutupwa korongoni karibu na Msitu Uliopo...
Wanapopata nafasi ya kusoma sana na kuujua ulimwengu wanaanza dharau juu ya utukufu wa mungu, wanaanza kuwa na imani ndogo juu ya dini, wanaanza kuamini zaidi katika sayansi,
wanaanza kufuata...
CCM (M/KITI CHAMA,NA M/JUMUIYA YA WAZAZI.), angalie shule yenu ya Minja tech na secondary itakufa ,mliyempa shule hii sidhan kama ni mtu sahihi,jaribun kujiuliza kabla hamja mpa hiyo shule...
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), imesema kuwa huduma nyingi kwa sasa zinategemea vitambulisho vya taifa na hayo yanafanyika ili kuongeza msukumo wa watu kufatilia vitambulisho hivyo...
MAKUSANYO ya Mamlaka ya Majisa na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) yameongezeka kutoka Sh bilioni 2.9 kwa mwezi kwa mwaka 2014/2015 hadi ku kia Sh bilioni 10.5 kwa mwezi mwaka huu.
Aidha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.