Hivi yule "Brigedia Mstaafu" aliyepigwa risasi siku chache baada ya shambulizi la Lissu aliishia wapi?

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,206
2,587
Haraka haraka, baada ya "Brigedia" huyo kupigwa risasi Rais Magufuli "alishtushwa sana na alipiga mguu hadi Lugalo Hospital kwenda kumjulia hali, na yule mgeshi alionekana kuumizwa na kuugulia kwa maumivu kweli kuliko hata kipenzi chetu Lissu...

Sasa tungependa kufahamu, yule ndugu anaendeleaje? Alipona? Hakupatwa na ulemavu? Yeye matibabu yake yalikuwaje akapona haraka, maana sisi kipenzi chetu bado yuko Belgium anauguza majeraha!

Na je, hivi huyo mheshimiwa "Brigedia Mstaafu" siye yuleyule "Dereva Taxi" wa White Sands anayezunguka na Lazaro Mambosasa kwamba ndiye aliyewabeba watekaji wa Mo na kuwapangishia nyumba?
 
Hivi wewe mkuu bado unanunua filamu za Kinigeria? Mimi hata season za Kifilipino sina haja nazo maana "Tanzania Police Seasons" zinapatikana kwa bei sawa na bure, sasa ya nini kuharibu hela kwa kununua vitu ghali wakati Jeshi letu la Polisi linatengeneza sinema za bure tena kwa kasi ya kuridhisha? Yaani kila wiki wanatoa Episode mpya, na wakati mwingine wanatoa episode juu ya episode.!
 
Haraka haraka, baada ya "Brigedia" huyo kupigwa risasi Rais Magufuli "alishtushwa sana na alipiga mguu hadi Lugalo Hospital kwenda kumjulia hali, na yule mgeshi alionekana kuumizwa na kuugulia kwa maumivu kweli kuliko hata kipenzi chetu Lissu...

Sasa tungependa kufahamu, yule ndugu anaendeleaje? Alipona? Hakupatwa na ulemavu? Yeye matibabu yake yalikuwaje akapona haraka, maana sisi kipenzi chetu bado yuko Belgium anauguza majeraha!

Na je, hivi huyo mheshimiwa "Brigedia Mstaafu" siye yuleyule "Dereva Taxi" wa White Sands anayezunguka na Lazaro Mambosasa kwamba ndiye aliyewabeba watekaji wa Mo na kuwapangishia nyumba?
Khe!!!!
 
Ha! Ha! Ha!
 
Back
Top Bottom