Mimi nawaonea huruma wanaopeleka matangazo hapo maana watu matangazo yakiwa mengi wanabadili station!...Hawa jamaaa tangu nimeanza kuwafatili wanaongea matangazo tuuu na kidogo kibonde lazima amsifie jiwe yeye Anadhani ukiwa rais wa nchi unakuwa above the law yaaani asikosolewa kwa kigezo cha kutiii mamlaka ,shwein
Hahaha Makosa; inamaana clouds wana mrengo wa matangazo ya biashara au me do kichwa changu baridi kama barafu sijaelwa?Mimi naomba kuuliza hivi kuna radio mlilazimishwa kusikiliza?
Watu mnawafahamu kabisa mirengo yao , lakini bado mnawalalamikia, mlitegemea wasemaje?
Bora jahazi wao wako na asilimia 90 ya matangazo,Ile power breakfast ni asilimia 99 matangazo
Mh January Makamba alishawahi kuonya hii kitu Ila wao matangazo tu,Mara maziwa,bank sasa naona wamerudi kwenye makeki na mikate,outrageous
Kuna yule dada wa kazi kwenye hicho kipindi naona Masood na Fredwaa wamempa kakozi ka matangazo,na yeye kawa kama wao