Mvua kidogo za vuli zilizonyesha mjini babati nakutirisha maji kidogo katika mfereji iliziduliwa hivi majuzi na Mheshimiwa Makamu wa Raisi wa Tanzania,zimebomoa baadhi ya mitaro.
Sisi wakazi...
Ndg. Mkurugenzi,
Yah: ZUIO LA KWA WAFANYABIASHARA KUENDESHA BIASHARA ZAO NYAKAZI ZA ASUBUHI KWA SIKU ZA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI.
Kwanza kabisa naomba niwapongeze kwa kazi nzuri ya...
Mwaka 2004, mwanamitindo ya urembo wa nywele Apryl Michelle Brown kutoka Los Angeles, Marekani alipoteza makalio, mikono na miguu yote baada ya misuli yake kuoza kutokana na kupata madhara ya...
Habari wakuu...
Ni kawaida kwa majengo maarufu ya biashara au hata yale ya kiserikali kupewa majina ambayo yanatumika kuyatambulisha. Na hasa katika Ikulu za nchi nyingi duniani zina majina...
Nina swala linanitatiza ni kwamba serikali ya awamu hii walisema watumishi wa umma watapandishwa madaraja .lakini ajabu gadi Leo sijaona chochote. Na ukisoma post za wadau wengine utasoma wanasema...
Matapeli, wezi, vibaka, majambazi hawa watu wote si watu wema... Hawana utu na hawajali kabisa maumivu ya wengine... Ni wachoyo na ni wa binafsi sana.... Ndio maana wanapokamatwa hufanyiwa mambo...
NI MAWAZO TU KWA MFANO
Ukimchukua mtu ukamfundisha kwa muda wa miezi 12 tu mambo muhimu kuhusu mafanikio kama vile kufanya kazi kwa bidii, kuwa mkweli, kuwa mwaminifu, kutofuja pesa, kuwa na...
Leo nilikuwa nahamisha pesa kiasi cha 500,000/= kutoka kwenye akaunti yangu ya M-Pesa kwenda Tigo-Pesa nikapata message hii,
"Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi...
Msemaji wa Serikali Dk Abbas alipoulozwa sababu ya kutolifungia gazeti la Tanzanite licha ya kuandika habari ambazo zingeandikwa na gazeti lingine lisilohusiana na serikali lingefungiwa.
Msemaji...
Kwa mfumo wetu wa kodi ulivyo kila mtanzania analipa kodi mara mbili.
Yaani ukipata pesa unalipa kodi na ukitoa pesa unalipa kodi kwa maana ya ukipokea unalipia kodi ya mapato na ile hela...
Kiwango kikubwa cha data huwa nakitumia kwa hizi reviews kama sehemu ya kujifunza.
Nimejikuta napenda sana kuona jinsi CCTV zinavyowaumbua watu waliokosa hofu ya mungu, na moyo wa kujituma.
Pia...
UBETI WA KWANZA
Umesahau ulipotoka, hujui unapokwenda
Ukapata kiburi kuona mi nakupenda
Nilikuthamini na letu penzi kulienzi
Na leo siamini kama umenisaliti mpenzi
Kumbuka nilikukuta kijijini...
Wakuu habari za asubuhi eti mwana hizaya ni nani na alitokea wapi.Make mtu akiwa mshenzi mshenzi hana adabu na tabia nyinginezo zizizofaa huitwa mwana Hizaya.Sasa huyo Hizaya ndo nani haswa.
UANAUME WA MIJINI NDIO JINA SAHIHI
Naomba kabla sijaanza kuelezea chochote ni-declare interest kwamba mimi sio mwanaume wa Dar na wala sijazaliwa mjini/jijini.
Kwanza kabisa naomba nijifanye...
Nilikua naayaangalia maisha ya hawa watu wa msituni huko Amazonia, kwa kweli ni maisha poa sana, hayana stress kama haya maisha tunayoushi sisi hii leo huku kunakoitwa ulumwengu uliostaaravuka...
GIRLFRIEND ni jina la filamu iliyotoka mwaka 2003 nchini Tanzania. Filamu inahusu muziki na maisha na ndani yake anakuja T.I.D, Yvonne Cherrie (Monalisa), Beatris Morris (Nina), Jay Moe, A.Y na...
Kwa ufupi mahakama imepokea maagizo ya Ikulu kuhakikisha Mbowe anasumbuliwa ipasavyo na yeyote ambae ataangukia kama sample ya kumsindikiza Mbowe kwenye usumbufu huo.
Magufuli kupitia Mwanasheria...
GEITA: Sintofahamu na taharuki imewakumba wakazi wa Kitongoji cha Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita kufuatia mnyama anayetajwa kama paka mtu kuleta mauzauza; Amani limedokezwa.
Usiku wa...