Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma. sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh...
8 Reactions
89 Replies
11K Views
Je? 1. Kumroga na Kumtoa Kishipa ili ateseke daima? 2. Kumuachia tu Mwenyezi Mungu amalizane nae? Nawasilisha.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni Ijumaa nyingine tena twakutana hapa nikiwajia toka sehemu isiyojulikana. Leo nawajia na wazo la kijinga. Wazo lenyewe ni kuhusu matumizi ya simu ingali ukiendesha gari [au hata bajaji]...
12 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wana jf leo kidogo nimekuja na masikitiko na majonzi, ni mara baada ya kusoma na kupata habari mbalimbali juu ya wabunifu tulionao Tanzania, Nilisikitika sana baada ya kuona kijana mmoja...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu watano mkoani Manyara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukutwa na nyara za serikali ikiwemo meno ya tembo pamoja na kilo 50 za nyama ya Twiga na kuonya juu ya uhalifu wa nyara za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi kati kuna video ilisambaa mitandaoni ikimuonesha jamaa akiokolewa toka ghorofani. Walimuwahi, hakufa wala hakupata majeraha, Mungu ashukuriwe. Ingekuwa leo hii tunaanua tanga [emoji1019]...
21 Reactions
70 Replies
8K Views
Kwa mujibu ya Naibu Waziri wa Ardhi katika swali kutoka kwa Waitara gharama za kupima ardhi ni shilingi laki tatu tu 300 000/= kwa hekta na kiwanja kimoja, hizi gharama sidhani kama zina uhalisia...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Mzuqa Ebana kuna besti yangu anaishi Dubei sasa hivi kama miezi sita hivi. Yeye ni mtu mzima sana. Kanunua apartment ya chumba kimoja jimbo (emireti) la Ajman kwa dola za kimarekani elf 65 yani...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwenda nje ya nchi ( hasa USA , UK , Asia , Europe ) ni fursa tosha. Ukibahatika kwenda huko either kikazi , kimasomo au tour...usirogwe ukarudi Tanzania. Hakuna cha maana huku, msoto msoto huu ni...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Pwani (ACP) Wankyo Nyigesa anadaiwa kutishiwa na watu wasiofahamika kupitia ujumbe mfupi wa simu (SMS) kuwa watamhamisha kwenye mkoa huo kutokana na kuzuia...
3 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari waungwana! Mimi ni Mkristo niliyezaliwa mara ya pili, Ninaamini ktk Neno la Mungu. Naomba niulize swali ambalo ni kama changamoto tu. Karibu makanisa yote kuna kapu la sadaka ya ujenzi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Shehena ya mbao imekamatwa katika stesheni ya Shinyanga ikisafirishwa kimagendo katika treni ya mizigo kutoka mkoani Tabora kuelekea Mwanza. Shehena hiyo imekamatwa baada ya kuwekwa mtego na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunaposema Wazanzibar tunamaanisha ni unguja na pemba.lakini kwa lafdhi maarufu ukiwa huku zanzibar ukisikia zanzibar ujue ndo unguja,na ukisikia pemba ujue ndo pemba.na hata wapemba wakija unguja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wadau/washikadau Kuna huyu mdudu anaitwa nyoka nikimuona huwa nashituka kama nadondoka kwa shimo la futi mia. Awe mdogo Mkubwa mkali ama hawa wanaoitwa kibisa yani nashituka vibaya...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Habarini wanajamvi! Wakubwa zangu shikamooni! Nijikite kwenye hoja ya sheria/kanuni za namna ya kukokotoa mafao ya Watumishi wa serikali kitu kinachopelekea Watumishi ambao wanafikia ukomo wa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Moja ya kitu kinachotofautisha binadamu na mnyama ni kuwa binadamu anasemekana kuwa na ustaarabu. Mnyama wanasema ni mshenzi. Lakini kwa sasa binadamu anapoteza ustaarabu kwa kasi kubwa sana...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimerudi tena Hospitali ya Taifa ya Muhimbnili baada ya kwenda mara ya mwisho mwaka 2010 ni takribani miaka 8 sasa toka nikajage pale kwa mara mwisho. Hakika kuna mabadiliko makubwa sana kwa kila...
8 Reactions
28 Replies
6K Views
*Nasaha kw waliofikia 35Age 40-50 na juu ya Umri huo...* *Nasaha 1... Juu yko kupiga CHUKU(Hijama) kila mwaka hata kama huhisi maradhi au mapungufu yyte* *Nasiha 2...Kunywa maji kw wingi japo...
18 Reactions
22 Replies
6K Views
An Ecobank customer, Saheed Abayomi, 46, has been arraigned Lagos Magistrate Court for alleged conniving with the fleeing former female Branch Manager of the Apapa branch of the bank, identified...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Back
Top Bottom