Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kusini kuna wasanii wengi sana wamepita na wengine wapo. Kati yao haikuwa kutokea msanii wa bongo flavor ambaye amejipambanua live ni mmakonde... Nadhani wengi walikuwa wanainferiority complex...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu najua mmepata taarifa juu ya kuhailishwa tamasha la fiesta basi zifuatazo ni taarifa zilizo chini ya kapeti kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi was clouds media taarifa nilizo zipata kutoka kwa...
8 Reactions
176 Replies
22K Views
Naiomba mamlaka husika kutafuta namna ya kwaadhibu madereva hasa DAR wasiojua kutumia HONI ipasavyo , pia nawasihi madereva kuwa wastaarabu barabarani HONI zimekuwa chanzo kikuu cha...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za mchana wana JF. Hivi ikitoka kwa mtu ambae hajafanya malipo ya NACTE EXAM FEES baada ya deadline kuisha kuna utaratibu gani utatumika ili kuilipa iyo pesa? Niko ktk wakati mgumu...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
idadi ya watz wenye msongo wa mawazo(depression) itafikia asilimia 80% kufika mwaka 2020,wengi wao wakiwa ni watumishi wa serikali.Sababu kuu zinazochangia/zitakazochangia ongezeko hill ni...
10 Reactions
101 Replies
11K Views
Benki Kuu imesema kuwa ilifanya ukaguzi wa ghafla tarehe 19 na kuyafunga maduka yasiyofuata taratibu Aidha, huduma za kubadili fedha za kigeni sasa zitapatikana kwenye Benki za biashara na Hoteli...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hali ni mbaya sana kwenye shule za serikali, mpaka najiuliza rais magufuli yupo nje ya nchi? Maana tunashindwa kujenga shule bora wakati tunawaleta wachina kujenga madaraja kila siku. Ni rais...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Tunajua binti kakosea lakin kitendo cha kuchokonolewa mpaka anashindwa kukaa vizurii si kizuri. Watu wa haki za binadamu kazi yenu nini jamani mbona hatuwasikii ,yaan police panaonekana ni...
53 Reactions
579 Replies
80K Views
Tunaomba MAMENEJA wa mitandao zungumzeni na TCRA kuhusu suala hili la mteja kurudisha namba lazma awe na loss report toka polisi, wateja wengi sana wapo vijijini na vijiji vingi havina vituo vya...
1 Reactions
1 Replies
914 Views
Nashauri kwamba ili kuiongezea nchi mapato,wale wanaochota maji katika ndoo katika mito,maziwa na bahari au wanaoenda kuoga maeneo hayo pia walipishwe pesa ili kuongeza mapato ya nchi KIDUMU...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Katibu wa itikadi na ueneze wa CCM Comrade Humphrey PolePole amekuja na suluhisho jipya la ajira ambalo kama litafanyiwa kazi na kufanikiwa basi litaweza kutengeneza ajira nyingi pamoja na fursa...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Inasikitisha kwa kampuni kubwa kama TIGO kuwa wababaishaji na kutokuthamini wateja wao. Siku ya Ijumaa tarehe 23 saa 2 asubuhi nilinunua umeme kupitia Tigopesa. Cha ajabu pesa ilikatwa pasi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga inafaa kuwa na maendeleo ya miundombinu na huduma za kijamii zilizo bora kuliko ilivyo sasa ! Pamoja na hilo,wilaya/ mji ule wa Kahama una sifa ya kuwa hata...
4 Reactions
43 Replies
9K Views
Wana jf, Naomba kuuliza, je bidhaa zinazouzwa kwenye Jumia ni original? Mwenye experience ya kununua vitu jumia naomba anifahamishe, Na vipi kuhusu bei zao ni nafuu kulinganisha na madukani, Mfano...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Mtoto wa nyoka ni =Nyoka Mtoto wa mbuzi ni= Mbuzi Mtoto wa ng'ombe ni= Ng'ombe NA MTOTO WA MUNGU NI =?? aisee haya mambo bwana acha tuu!!!!!
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Yule jamaa aliyeletwa kwa waandishi wa habari akikiri kuhusika akishirikiana na wageni kumteka MO amerejea uraiani. Huyu mshkaji alicheza move ya Dr. Shika akapata wafuasi Sasa hivi kacheza move...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Najua mu wazima,mwenzenu nimebahatika kuwemo kwenye orodha ya watumishi waliopanda daraja mwezi huu.swali language nikwamba "KUNA ONGEZEKO LA SHILINGI NGAPI KWENYE TAKE HOME KUTOKA TGTS C MPAKA...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Kuna msemo usemao ukiona Serikali inawaogopa wananchi ujue kuna uhuru au liberty. Kama wananchi wanaiogopa Serikali ujue kuna udikteta!! Ukiona wananchi wanaumia ujue kuna unafiki, ubabaishaji...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom