Vodacom na CRDB wanavyoibia wateja!

Vodacom na CRDB wanavyoibia wateja!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,473
Reaction score
31,966
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
 
huu ndio wizi hatarishi wa kimtandao

Sanaaa nadhani TCRA lazima wawe macho sana kwa hili, ni kama vibaka vile yaani.. Wanadokoa dokoa hela za wateja ila kwa siku wanakusanya millions..!! Inakera mnoo
 
Sanaaa nadhani TCRA lazima wawe macho sana kwa hili, ni kama vibaka vile yaani.. Wanadokoa dokoa hela za wateja ila kwa siku wanakusanya millions..!! Inakera mnoo
TCRA WAAMKE KWENYE HILI TCRA
 
CRDB eti ukicheki tu balance kwa Sim banking wanakata tshs 364.. Kila ukicheki balance wanakata hela hiyo.. Ni hatari sana huo ni wizi..!! Hivi kucheki balance kwa simbanking kwann wana chaji? Hela yangu, simu yangu, data yangu, hivi kweli hata kucheki balance unanichaji tshs 364..yaani kila ukicheki balance wanakata hiyo hela.. 😡😡😡😡
 
Hawa voda ndio wahuni sio CRDB,
Vodacom wanakuuzia kifurushi cha internet cha Night 4GB kwa Tsh1500 kisha unapotumia ikifika 3GB unaambiwa kifurushi kimeisha.
Nimejaribu zaidi ya mara 4 ni proven issue kabisa.

TCRA tulindeni consumers.
 
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Unataka tukusaidie nini? mengine mabaya kuliko haya unayafurahia hili ndio unaona ni tatizo kubwa, kumbe huwa mnashabikia mambo huku mioyoni mnaumia kimyakimya.
 
Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
jingalao kabla hujaongea kuwa kwanza unafanya utafiti, hata boss wenu alishawaambia msiongee bila data.!

Do you have anything to back up your argument..?
 
hili halijaanza leo ni suala la siku nyingi sana labda kama umeaanza kutumia huduma hii leo, na sio CRDB na VODA tu bali ni suala la mitandao yoote kwa namna tofauti tofauti na kuna maada nyingi sana humu toka 2010 zinalalamikia wizi huu aina nyingine ya wizi wa kwenye huduma za atm pale transaction inapokuwa cancelled. Upo pia wizi kwenye speed za mitandao, mtandao unasearch dk10-20, usiponunua kifurushi pia na ukaacha data on imekula kwako.. TUNAHITAJI KUAMKA KUWEKA MAMBO SAWA.
 
Back
Top Bottom