Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imepanga Desemba 13, 2018, kumsomea maelezo ya awali, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe anayekabiliwa na kesi ya uchochezi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Ilikua ufahari sana kufanya kazi kwenye taasisi za fedha ila yawezekana hata sasa wengi bado wanaamini hivo, binafsi nilikua nawaona hawa watu ni wa daraja la juu kabisa na...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Mzuqa wanaJamvi. Uzuri wa wenzetu wakikubaliana na kusain mikataba wanahiheshimu pamoja na vipengele vyote. Sisi hapa tulisaini east africa treaty yani tunaweza kufanya biashara na kyfanya kazi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni kujua naanzia wapi kufuatilia faini iliyotolewa kimakosa? Juzi nilikua na safari ya Babati > dareda Nmesimishwa na traffc nikampa leseni akaikagua badae akanambia Gari inadaiwa Leseni...
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Serikali ichukue asilimia 51 ya betting system zote free of charge bila kulipa chochote, anaeona inamlipa aendelee kula jasho la wananchi pamoja na serikali ni sawa, lakini atakaeleta uchoyo kwa...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Developing countries depend on the US- FDA to certify whether GMOs,are safe for human use.But do you know that the FDA does not test whether GMOs, Agrichemicals or Pharmaceuticals are safe for...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Tafadhali naomba kujuzwa mabasi yanayotoka Dar es salaam kuelekea Mwanza. Kuna mtu wangu anatarajia kusafiri keshokutwa jumatano tarehe 28/11/2018.
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Ninashindwa kupata maneno mazuri ya kutumia ili kumaanisha majonzi, kilio na masikitiko yangu. Kwa kweli inaudhi, inakera na inaumiza. Kwamba kwa miaka kadhaa sasa nilitafuta namna ya kukabiriana...
0 Reactions
9 Replies
998 Views
Baba au mama anaeza kuwa na proffesion zaid ya moja kwa nyakati tofauti, mfano mwalimu baadae, HRO au Mchumi etc hasa ktk private institutions au hata govt, na chet cha mtoto kilisomeka kazi ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wapendwa, Napenda kufundisha watoto wadogo kati ya miaka 3-6. Ningependa niwe darasa interactive na rafiki kwa watoto. Nahitaji vifaa vifuatavyo,ila hapa Bongo nitavipata wapi?
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Jaribu kutuliza akili kwanza ili unielewe: Nia ya huu uzi sio kuwakandia watanzania, Kwenye nchi mama Tanzania kuna watanzani wenye utu . Ila kwa vile kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimejikuta nawaza sana mambo yanvyokwenda hapa nchini maana kila leo kuna jipya, kila sekta inamulikwa hata zile ambazo huenda hazina tija kubwa sana. Wasiwasi wangu huenda KODI YA KICHWA...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba wataalam wa ujenzi wanifahamishe ni tofauti gani iliyopo kati ya bati za gauge 30 na gauge 28, nafanya ujenzi nilitaka niweke bati za migongo mipana wanazoita m-South ila gauge 28 imekuwa...
0 Reactions
19 Replies
16K Views
Nadhani wanabiolojia wanaweza kuwa na majibu ahihi ya nini kimetokea mpaka mtu ukawa na shape hii
2 Reactions
11 Replies
46K Views
Ninaendelea kushangaa kuona shirikisho la wafanyakazi nchini halitoi tamko juu ya mjadala mkubwa unaoendelea kuhusu fao la mkupuo kwa wastaafu,badala yake mjadala wameachiwa ssra na wadau wengine...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu habar za mda huuu, Baada ya salam naomba nijielekeze kweny mada ya husika nauliza hivi hakuna dawa, mafuta au jelly ya kupakaa ili kujikinga na janga hili la UKIMWI hata mkifanya na...
2 Reactions
40 Replies
10K Views
"Naondoka miye nimeleta chuma hiki" "mlisema miye mpole sasa nimemleta mkali kidogo "
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Najiuliza tu kama awamu zote nne zilizopita watu walikula mafao yao bila tatizo iweje awamu hii wapige [emoji359], mafao ya watu, pesa zipo wapi? Hizi pesa zinatumika wapi hadi mifuko iwe na hali...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Watu wa humu jf natumai mko poa sana kuna kitu kinanichanganya hv wasafi fm radio inaskika mkoa wa mtwara ambako leo tar 24 inapigwa show matata sana ya wasafi festival!!?? Naje ni mikoa mingap...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Nimetokea sana Kumpenda huyu ' Script Writer ' wa ' Movies ' za ' Utekaji ' nchini Tanzania Director Mambosasa ila sijajua kama tayari ameshazimaliza ' episodes ' zake zote au labda amenyamaza...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom