Describe the reasons which leads to the collapse of Tigo fiesta empire and factors lead to the rise of strong wasafi festival kingdom? najua points zetu zile huwa...
Wananchi wa halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wamelazimika kukumbana na adha ya kukosa usafiri baada ya madereva wa daladala na makondakta kusitisha kutoa huduma ya usafiri na kuziegesha...
This is from the biblical point of view...lakini naomba nitoe 'disclaimer' kwamba uzi huu hautaambatana na mistari ya bibilia kusupport nitakayoyasema kwasababu mazingira niliyopo sio rafiki kui...
Hivi mpaka mtu, say kiongozi aue watu wangapi ndio awe labled kuwa ame commite crime against humanity? au ni makosa gani na kwa kiwango gani yawe commited ndiyo mtu awe implicated in that crime?
Hello bosses
Hawa Vodacom sijui wananiibia mimi tu, ipo hivi juzi jumamosi nilijiunga bondo la GB 1 la masaa 2
Nikatumia tumia cha kushangaza zilizilipo fika MB 916 kati ya MB 1024 bando...
Habari,
Rejeeni kichwa cha mada hapo juu.Nimepata changamoto nilipokuwa nataka kuweka baadhi ya programs kwenye PC yangu.Nikifanya configuration&installation nakwama inasema run/install .NET...
Mdau Wa masuala ya Kilimo kutoka mkoani Kagera,anayehudhuria warsha ya baraza la Kilimo la Taiga (ACT) unaoendelea jijini Dar,amemtaka Rais Wa JMT kuufuta ushirika kwa muda Wa miaka 10 ili...
Nilikopeshwa na HESLB. Wamekata pesa na ziada. Kurudisha wanasuasua. Wakopaji wanalipishwa penalty na value retention fee.Kwanini hiyo penalty na value retention fee isilipishwe na kwao kwa kukata...
Kwakuzingatia mambo tunayoyaona na kusikia katika nchi yetu ya Tanzania Kiongozi mkuu wa nchi yetu ameshadhihirisha kabisa kuwa hatuna Uhuru zaidi ya yeye mwenyewe kwamba sisi bado ni watumwa...
Ushauri kwa bodi Parole, December tuna sherehe za uhuru, kama kawaida Amiri jeshi mkuu anatoa msamaha.
Punguzeni vigezo mfano
wale waliokaa mahabusu muda mrefu kesi zaidi miezi 6
Kesi za kisasa...
salaam wanaJF.
naombeni kujuzwa, kuna shirika linaitwa ''Tanzania 4h organization''. Office zao zipo wapi? na wanadeal na nini ?
natafuta info zao ila hata hazipatikani, website yao wala...
Kumekuwa nanusufu sana unapohitaji kuhuisha leseni yako,hasa kwa mikoani ambapo unasubiri leseni hadi miezi minne,tunaambiwa leseni zinaprintiwa dar,halafu ukifika TRA ofsin msululu wa watu,kwa...
Watoto wanazaliwa pasi na uelewa wa kutosha juu ya mahusiano ya kijamii na hivyo kila uchao wanatafuta kwa hamu mtu wa kuiga. Huyu anaweza kuwa mzazi mmoja ama wazazi wote wawili. Wazazi ni...
Huyu jamaa tunajua ni comedian na entertainer tena bonge la actor kabisa ila hii tweet yake ni dharau na jeuri za awamu ya tano ambazo zinaanzia juu kushuka chini yaani top down,zinaanzia kwa boss...
Wazee wa wastaafu 2000 mkaani Tanga wanufaika na mikopo kutoka Benki ya posta(TPB),
WENYE THAMANI YA SH BILLIONI 6.7KUPITIA PENSHENI ZAO AMBAO UMEWEZA KUWASAIDIA KUKIDHI MAHITAJI YAO NA KUWAKWAMUA...
TAHADHARI!TAHADHARI!
WIZI WA DAWA
Ndugu wananchi, kumekuwapo na wizi mkubwa wa dawa za wagonjwa katika madirisha ya kuchukuliwa dawa hospitalini, wizi huu unafanywa na watoa dawa hasa kwa...
Si ajabu masikini hapo ulipo ni mfanyakazi, mstaafu mtarajiwa, eti na wewe una kadi ya CCM. Chama chenye kuunda serikali iliyotunga sheria upewe ROBO ya mafao yako ukiistaafu, halafu uanze...
Jana nili order takeaway pizza mbili Batman Pizzeria maeneo ya Goigi. Pizza moja ya chicken (shs 12,000) na nyingine inaitwa Santa Fe nayo inakuwa ni chicken na garlic (shs 14,000).
Lahaula! Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.