Kuna dalili kubwa Lulu kupata Msamaa wa Rais


clem sayi

clem sayi

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Messages
1,449
Likes
1,134
Points
280
clem sayi

clem sayi

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2017
1,449 1,134 280
Hata mimi hili nimeanza kulihisi
 
BILLY ISISWE

BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,124
Likes
326
Points
180
BILLY ISISWE

BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,124 326 180
Kuna ubaya gani? Sheria zinasemaje? Waswahili mpoozi
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,574
Likes
5,381
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,574 5,381 280
Hukumu ya kesi ya mauaji? Anyway kwa Sizonje anaweza kusamehe! Si alisema ameweka sheria kando hadi amalize kusafisha nchi?
 
Baba Heri

Baba Heri

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
918
Likes
999
Points
180
Age
35
Baba Heri

Baba Heri

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2013
918 999 180
Angempa msamaha lakini tatizo ni
1. Kabila
2. Wakili
 
namvumi king

namvumi king

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
364
Likes
456
Points
80
namvumi king

namvumi king

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
364 456 80
Rais yupi,wa msoga au huyu wa chato,naona mmepoteza majira
Mawazo yenu yapo msoga acheni masikhara sisi wandengereko tunasema vuli ya mwaka jana si sawa na ya mwaka huu
 
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,146
Likes
3,108
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,146 3,108 280
Kosa hilo haliko katika makosa yanayotolewa msamaha na rais jombaa
kabisa mimi ndivyo ninavyojua pia na kama atatoka basi huyu atakuwa amejidhalilsha Mno kwa kuwa katajulikana kwenye viwanja
 
Wgr30

Wgr30

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
1,485
Likes
1,730
Points
280
Wgr30

Wgr30

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
1,485 1,730 280
duh!! kesi ya mauaji ina msamaha mkuu!!!

basi Magu akifanya hivo itakuwa kituko cha karne!!!!
 
kenstar

kenstar

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
2,304
Likes
1,394
Points
280
kenstar

kenstar

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
2,304 1,394 280
Dad's is coming, yawezekana maana Kwa matamshi yake yeye ni no Mbili mwenye kujiamini baada ya no 1 Kwa hio inawezekana.Amkumbuke na babu seya pia.
 

Forum statistics

Threads 1,215,196
Members 463,075
Posts 28,539,141