Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni aibu sana, Hivi kwanini wasitoe elimu watu wachangie jamani.
6 Reactions
133 Replies
13K Views
Mimi sio muandishi mzuri, Ingawa ninayo mawazo pia napenda ku guess vitu vinavyoweza kutokea kwa asilimia kadhaa aidha kutokea kwa njia ya jinsi niwazavyo (direct) au njia nyingine (indirect)...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
KUNENA KWA LUGHA. Kuna aina aina nyingi za lugha, zipo lugha za wanadamu na lugha za malaika, lugha za wanadamu ndio kama hizi tunazozifahamu na kuzizungumza; Kiswahili, kingereza, kiarabu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Inasemekana...... Je ni Kweli Makundi ya Damu Yanachangia Kwenye Uwezo wa Akili? Kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Jerash, Jordan na kuchapishwa katika jarida la International...
1 Reactions
26 Replies
14K Views
Weekend imeyoyoma. Kuzamia nchi za watu kulianza miaka mingi iliyopita lengo likiwa ni kutafuta maisha kwa ajili yako na ya wanaokutegemea ( familia). Kuna mbinu , changamoto /risks zake kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada wenu wa hoja kuna wamama wawili wanabisha na kama mwalimu wameniita niwaeleweshe. Nilikuwa natafuta binti wa kazi hapa kijijini *Mama moja anawatoto wawili wa kike wote ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akihubiri katika Misa ya Mavuno, ambapo kanisani lilikusanya shilingi 2.9 Billioni. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliipongeza Serikali kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Imeelezwa kua mtu mmoja mkazi wa Makumbusho Jijini Dar es Salaam amejinyonga kwa kamba chumbani kwake kwa kilichoelezwa kua ni kisa cha mapenzi na nduguye aliyekataa kuolewa naye. Katika barua...
10 Reactions
71 Replies
15K Views
Wafanyabiashara wa soko la Nguzo nane mjini Shinyanga, wamegoma kuuza bidhaa zao kwa madai ya kuonewa na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko, kwa kuwatoza faini za mara kwa mara Shilingi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa wale wana JF wenzangu wenye kutegemea maji ya visima watapata tabu saana kuvilipia
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari za asubuhi wakuu, Kuna hizi sehemu lockup/rumande, mahabusu, jela. Binafsi imenitokea mara mbili. Mara ya kwanza ilitokea mwaka 2010 mwishoni, kipindi hicho nilikuwa nafanya kazi...
18 Reactions
128 Replies
15K Views
Tamasha la Wasafi Festival linaangaliwa na watu zaidi ya elfu kumi kwa wakati mmoja mpaka sasa saa nane usiku. Hii ni idadi ya wanao angalia kwa simu achilia mbali wanao sikiliza radio na...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Ndugu zangu,Fitina kwangu mwiko na nitasema kweli daima; Nimepita pita kwenye maofisi na maidara mbalimbali na kote nasikia vilio na malalamiko Je ni kweli vyuma vimekaza kiasi hiki? Ninasoma...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Hii inajidhihirisha pale kunapokuwa na IPOs unaanza kuona watu wananunua tu hisa bila hata kufanya utafiti. Angalia hisa za Voda ilivokuwa, watu walinunua tu kwa kufuata mkumbo matokeo yake sasa...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani hasa wanaume kuna mtu amewahi kulia ile serious akiwa peke yake kisa kusalitiwa na mpnz wake namaanisha yule dem ambaye serious ulimpenda na kua na malengo nae
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzuqa Sisi watanzania wengi wetu ni wanafiki. Na habari za kifo kwetu ni furaha. Tuna ushabiki na mizaha hata kwenye misiba. Ukienda misibani siku hizi ni kama vijiwe vya umbea tu. Wanaohuzunika...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
KIFO: kwanini haujawahi kuwa rafiki wa mwanadamu, Kwanini usifute uadui ulionao kati yako na maisha, kwanini unakuja kwa kuvizia kama vile mwivi, Furaha yako ni ipi ewe KIFO je nikushuhudia...
2 Reactions
83 Replies
6K Views
Pasi na shaka zaidi ya 98% ya binadamu wanaamini uwepo wa Mungu; sina shida kabisa na imani hii ya uwepo wa Mungu. Tatizo ni ile packaging na distribution ya huyu Mungu. Kuna yule ambaye anakuwa...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Mie mtumishi wako #EvaristChahali nina mada za kuwasilisha kila siku hata kwa miaka mitano mfululizo. Nina vitu vingi mno vya "kushea" nanyi. Majuzi kuna mtu aliniuliza, (namnukuu), "hivi kaka...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Baraza kuu la waislamu Bakwata,wilaya ya Arumeru linatarajia kukusanya kiasi cha zaidi ya Milioni 30 katika harambee ya kuchangia ujenzi wa mradi wa Msikiti na kituo cha kulelea watoto Yatima...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Back
Top Bottom