Je, huu ni Uungwana? Tusitafutane ubaya jamani?

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,398
Moja ya kitu kinachotofautisha binadamu na mnyama ni kuwa binadamu anasemekana kuwa na ustaarabu. Mnyama wanasema ni mshenzi.

Lakini kwa sasa binadamu anapoteza ustaarabu kwa kasi kubwa sana. Mpaka inatisha. Mambo mengine yanakwaza sana.

Megine mtu anakupigia simu ana shida umtumie 400,000 kwenye simu. Unamtumia.anapokurudishia anairudisha 400,000 hiyo hiyo bila kuweka ya kutolea.maana yake wewe tena uliyemsaidia unaingia hasara. Je, huu ni uungwana?

Imagine mtu anakupigia simu saa sita usiku unaamka unadhani labda ana dharura unapokea simu umeshtushwa usingizini anakwambia "umeicheck game ya leo? Ilikuwa lazima tuwagonge piga ua" au unapokea simu saa sita aliyekupigia anakwambia "lete story" Je huu ni uungwana?

Imagine upo room moja na mshkaji chuo umelala anakuja room saa nne usiku na demu wake.wewe umevaa boxer.anapanda naye kitandani halafu anamchapa nao.bila kujali kuwa wewe umo ndani.yaani kuzima taa tu anaona inatosha na sababu wewe unalala kitanda cha chini yeye juu basi anaona shwari tu.anamchapa nao mle mle ndani. Je huu ni uungwana?hapo nami nikiamua kuomba game si atasema mi mbaya?

Imagine kila unaponunua msosi ofisin kuna mtu anakuja kugongea. Atachukua kipande cha nyama au mshkaki. Atakata samaki upande huku akijisemesha semesha. Tena ni demu na mnalipwa salary inayofanana. Hii tabia inakwaza sana. Chakula chake anakula peke yake ila akikuta we unakula anagongea.

Kuna watu wana mambo ya kisela nondo hata ukubwani.tena mke wa mtu.hapa nikisema nami niombe kula kipokwinyo chake si atasema sijatulia?maana si wengine hatuwezi gongea chakula. Mi ntakapoomba kumla asione sina heshima.

Haya mambo yanakwaza sana na kuondoa ustaarabu kwetu binadamu. Nayaweka hapa ili wote wenye tabia hizo waache. Tujifunze kuwa waungwana.
 
Hahahaaa hyo mimi ya mtu ananitxt unamjibu anakuambia leta stry jaman nakwazika mm jamn. Uzuri huwa sijibu... kuna fala 1 anakutxt muda mbovu ukimjibu salam anaishia lete stry jaman ananiudhiii. Ananikera nileteje stry na wakt ww ndo umenianza😏😏😏😏😏😏
 
Wapo mafala wengi sana wa namna hiyo. Anakupigia yeye halafu anataka wewe umpe stories.

hahahaaa hyo mimi ya mtu ananitxt unamjibu anakuambia leta stry jaman nakwazika mm jamn... uzuri huwa sijibu... kuna fala 1 anakutxt muda mbovu ukimjibu salam anaishia lete stry jaman ananiudhiii... ananikera nileteje stry na wakt ww ndo umenianza😏😏😏😏😏😏
 
Wapo mafala wengi sana wa namna hiyo. Anakupigia yeye halafu anataka wewe umpe stories....

😂😂huyu yeye ni fundi magari..najuta kuwa na simu yangu ananikera jaman..yan hujui anataka nn..hata leo kanitxt nmejibu nipo..later akaniambia nipe stry..nimekaa kimya..huyu ni daily😣😣😣😣😣😣
 
Anakutaka anashindwa kukwambia
😂😂huyu yeye ni fundi magari..najuta kuwa na simu yangu ananikera jaman..yan hujui anataka nn..hata leo kanitxt nmejibu nipo..later akaniambia nipe stry..nimekaa kimya..huyu ni daily😣😣😣😣😣😣
 
Mwambie kuna una tatizo la gari utamtafuta otherwise mumeo/mpenzi wako hapendi sana kuwasiliana na watu.
😂😂huyu yeye ni fundi magari..najuta kuwa na simu yangu ananikera jaman..yan hujui anataka nn..hata leo kanitxt nmejibu nipo..later akaniambia nipe stry..nimekaa kimya..huyu ni daily😣😣😣😣😣😣
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom