Hizi ni gharama za nini specifically??kwa mujibu ya naibu waziri wa Ardhi katika swali kutoka kwa waitara gharama za kupima ardhi ni shilingi laki tatu tu 300 000/= kwa hekta na kiwanja kimoja... hizi gharama sidhani kama zina uhalisia huku mtaani kwetu
Kwa mujibu wa naibu waziri hizi zinacover zoezi zima la upimaji.. na hii ni gharama elekezi baada ya kushushwa kutoka laki naneHizi ni gharama za nini specifically??
Manake utakujakuambiwa gharama za Townplanner, michoro, kuweka Beacon, design, etc unaorodheshewa tu.
Au hii gharama ni kwa vyote jumla??
Dah,Kwa mujibu wa naibu waziri hizi zinacover zoezi zima la upimaji.. na hii ni gharama elekezi baada ya kushushwa kutoka laki nane
Kwa mujibu ya Naibu Waziri wa Ardhi katika swali kutoka kwa Waitara gharama za kupima ardhi ni shilingi laki tatu tu 300 000/= kwa hekta na kiwanja kimoja, hizi gharama sidhani kama zina uhalisia huku mtaani kwetu.
Kwa mujibu wa naibu waziri hizi zinacover zoezi zima la upimaji.. na hii ni gharama elekezi baada ya kushushwa kutoka laki nane
Hapana ipo hivi Kama unazipima zote kwa pamoja bila KUGAWA viplot plots GHARAMA Ni hy laki 3 ila ukitaka KUGAWA kwa vipolt kila plot itakugharimu laki3Dah,
So kupima shamba hekta 30 x 300,000 ni Tshs 9million??
Bado kubwa aisee kwa mashamba