Wakuu habarini za weekend.
Nakumbuka kuna uzi humu uliletwa ukiwa na taarifa kuwa ile service charge ya kila mwezi imeondolewa kuanzia mwezi November mwaka huu 2018 na barua iliwekwa humu ambayo...
Habari za jioni wana JF
Nikiwa nimeshikilia balimi yangu inayotoka jasho (unyevu nyevu) natafakari majaaliwa ya mwanadamu. Ni kawaida kusikia watu wakisema maisha sasa yamekuwa magumu. Kwa msemo...
Wakuu habari za muda huu, naombeni msaada takriban yaapata mwezi kila nikila chakula sishibi kabisa hata nikila kiasi kingi. Imefikia hadi kwa siku nakula zaidi ya mara tano na bado nitateseka kwa...
Ndugu wanajamii forum kwa masikitiko makubwa napenda kuwasilisha machungu ya maisha wanayoyapata watanzania hasa wenye kipato cha chini kabisa.
Watu hawa wanahangaika kwa kukosa maarifa na...
PSRS na TAGLA waanza mchakato wa kuendesha usaili kwa njia ya Mtandao
Menejimenti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kushirikiana na Wakala wa Mafunzo kwa njia ya mtandao (TAGLA)...
TCU yakifungia chuo cha Mtakatifu James kutoa shahada ya Utabibu na kuwaacha Wanafunzi kwenye mataa
Hii imedhihirisha kuwa Tume ya Kusimamia vyuo vikuu nchini (TCU) haijali mustakabali wa Wasomi...
kwanza niombe radhi kama hii habari ilishawai kuletwa humu..Pili niombe radhi Kwa kutokuweka video nmejaribu kuupload ikagoma...
Kunatalent show flank hivi iko kama american got talent nadhani...
Pwani: Polisi inamshikilia Salehe Masokola kwa tuhuma za kuwapa wanawake sumu na kuwasababishia vifo.
Salehe Masokola (22), ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Kunwe wilayani Mvomero mkoani Morogoro...
Habari Zenu Wana JF
Mimi niko SA kwa sasa ila nilipata matatizo ya kifedha kwa Visa ikawa imekwisha muda wake sasa ninahuitaji wa visa nilikwenda Home affairs ya hapa SA ili niwaelezee kuwa...
hebu bila kukuna kuna kichwa tupia sentensi yoyote ya kiingereza cha kuvunjika vunjika hapo china:-
I has a book.
I think now mr ester have get what she were looking forward
they are looking...
Wakuu natumai mmeaka salama.!
Malawi ni Moja ya Nchi ambazo zimelazimika kuwarudisha shule mabinti ambao walipata ujauzito wakiwa bado wanafunzi.
Mabinti hawa baada ya kujifungua wanarudi na...
Nassari na Lema walifikisha malalamiko yao Takukuru kwa mara ya kwanza Oktoba 2 ,2017 ikiwa ni siku moja kupita tangu walipouweka hadharani mbele ya waandishi wa habari ushahidi huo mjini Arusha...
Ni swali tu ndugu zangu.Chama kikongwe katika ulingo wa siasa za Tanganyika na baadaye Tanzania na chenye historia ndefu juu ya uongozi kitaifa sasa kinaonekana dhahiri dhihiri kinapumulia...
Kwa kipindi kirefu, elimu nchini Tanzania hasa elimu ya chuo kikuu imegubikwa na changamoto nyingi ambazo zinaifanya ionekane ni ya ovyo. Wanafunzi wa vyuo hawajitumi kusoma kwa kutegemea alama...
Maisha ya kisiasa
1966: Alishinda kiti katika Bunge la Wawakilishi
1971: Nixon amteua kuwa balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa
1974: Ateuliwa kuwa Balozi wa Marekani katika ubalozi mpya...
Naenda moja kwa moja hoja, nafuatilia live matangazo ya JPM na Uhuru kenyatta,ila kuna jambo binafsi kwa uelewa wangu mdogo, nyimbo za taifa wakati zinapigwa umeanza wimbo wetu na kufuata wa...