Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali na sheria pia zinasema channel za ndani ikiwepo azam one,azam two,azamsport hd na zingine zioneshwe bure ila mpaka sasa mwaka unaisha hawafuati sheria za nchi.. Je hii inamaana azamtv...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Bohari Kuu ya Dawa nchini (MSD) imesitisha kusambaza dawa kwa vituo vya Serikali kutokana na kuongezeka kwa madeni huku ikidai serikali imekuwa ikiendela kukopa dawa hizo kutoka Bohari hiyo na...
5 Reactions
65 Replies
14K Views
Sina mapya ya kuwaambia,haraka sana waambieni informers wetu wa maofisi ya umma wawape ripoti ya chuki mbaya inayojengwa juu yenu ya wafanyakazi Hili la pensheni ya kibaba cha 25% limechoma...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Waafrika tunaweza kuanzisha viwanda twaweza tukiamua watoto hawa ni mfano
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wetu kuna somo kubwa sna wanatakiwa kusoma kupitia kifo cha Bush mkubwa mie binafsi kifo hiki kimenirudisha mpk tarehe 7 mwenzi 4 mwaka 1972 Zanzibar japo Sababu za kifo zipo tofauti lkn...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Kwa kuangalia mwenendo wa serikali tu natabiri upigaji wa hali juu sana tena sio ule wa wazee wa bandar no juu itakuwa wa hukooo juu. Nadiriki kuyasema haya baada ya kushuhudia wazwaz naibu...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
wakuu za saa hizi, nataraji kuja dar kesho kwa ajili ya semina ya kikazi, ila mi mgeni maeneo ya sinza, mwenge sayansi na kijitonyama, natafuta ka hotel amaboko kiko safe, clean na bei kuanzia elf...
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Niende kwenye mada watumishi wa umma na wafanyakazi na vyama vyenu vya cwt tughe tuico nk huwa mnakata sana viuno mkiimba kwaya kubembeleza muongezewe hela yani mmekuwa kama mazuzu nawauliza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja Mimi sio mgeni humu ila nimetumia ID mpya so niwatoe hofu ya hiyo username yangu. Mara nyingi vijana hawatambui ni vitu gani wanapaswa...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
UNGEKUWA NI WEWE UNGECHUKUA UAMUZI GANI? Siku zote mke wangu amekuwa akiniambia kuwa ananipenda sana. Kitu kizuri zaidi amekuwa akinionyesha upendo huo, jambo ambalo limenifanya nijivunie kuwa...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Wanafunzi wa shule ya secondary LUSAHUNGA wilayani Biharamulo hufukuzwa kwenye kipindi cha sayansi na kupewa adhabu ya kuponda kokoto ndoo 3, kwa kosa la kutolipa mchango wa walimu wa ziada shs...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwa moyo mweupeeeee nawashauri watani zangu ccm adui yenu namba moja ni washauri wa jpm kaeni chunguzeni (naamini mnajua) master mind wa kila alifanyalo jpm anashauriwa na nani? Mkishamjua basi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani eti anataka waAfrika tusaini kwa hiari yetu wenyewe kutawalia upya na wakoloni. Aisee,
3 Reactions
60 Replies
5K Views
UNAAMBIWA huyu ndiye Mbwa tajiri Gunther Iv anayetajwa kuwa Mbwa tajiri zaidi duniani Akiwa na Utajiri wa Zaidi Ya Tsh.Billion 862 . Utajiri huo unatokana na Urithi Ulioachwa na Mzazi wake Gunther...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari wadau, Niko kwenye kuchanganua biashara ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kuanzisha na nimevutia zaidi kufahamu biashara ya BABECUE, GRILL ama NYAMACHOMA ikiwa ni ya Ng'ombe,Mbuzi,KuKu au...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Barua ya wazi kwa Rais kuhusu korosho - JamiiForums Mdau wa Korosho anahoja za msingi sana kwa faida ya wakulima na kuepusha aibu kwa Mkuu.
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Ni miaka takribani 38 bado suluhu ya ardhi ya Tarafa ya Inchage Kijiji cha Kebweye haijulikani. Serikali yetu ni sikivu hebu ufumbuzi wa suala hili ufikiwe maana wananchi wamechoka kudanganywa...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Huyu shehe bhana huwa nacheka nikimuangalia kuliko hata navocheka nikimtazama joti na mpoki.
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Imeandikwa na: Makirita Amani Kama hujawahi kuendesha gari basi umewahi kupanda gari na kukaa karibu na dereva. Kama una udadisi tu wa kawaida, utakuwa umegundua mbele ya dereva kuna vioo...
26 Reactions
26 Replies
5K Views
Mimi ni muumini na mtumiaji wa mitandao mingi ya kijamii(sio muandikaji sana), moja wapo wa mtandao wa twitter. Ule ujinga ulio facebook umehamia twitter sasa, ule ujinga wa kulike na kukoment...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom