Shuhudia usafiri murua wa treni huko Beijing, China

China ina idadi kubwa sana ya watu, wengi wao wakifanya shughuli zao za kila siku mijini na baada ya kipindi fulani hkurudi majumbani kwao kwa wingi wa kutisha. Hii ndio sababu iliyopelekea China wameamue kuwa na mpango wa ujenzi wa reli nyingi za kisasa zitakazo kuja kupunguza tatizo hili la usafiri, kwa kutumia treni zinazotumia umeme zenye mwendokasi zaidi. Picha hiyo inaonesha moja ya treni za zamani zilizozidiwa na idadi ya wasafiri.

Katika picha hii kuna kitu cha kujifunza ambacho si cha kawaida, Nidhamu na subira ya hao wachina wakati wa kupanda na kushuka. Hebu fikiria huo umati ukiamua kugombea na kupitia madirishani kama ilivyo kule Mbagala na Kimala wakati wa asubuhi, vifo vinaweza kutokea hapo.
 
China ina idadi ya watu bilioni moja na million mia nne(1.4 billion population )
 
Idadi ya watu Beijing ni milioni 56 zaidi ya idadi ya Watanzania wote.
as per 2017. mwaka mmoja tu wameongezeka 30M+?
IMG_20181201_132924_877.JPG
 
Yakija huku hayataki kurudi


Haya ni ma future gabachoris, tujihadhari nayo yatasumbua sana vizazi vyetu mbele ya safari kama tutaelekeza nguvu zetu kupigana vikumbo vya kisiasa tukaacha kuweka mikakati imara ya umoja wa kitaifa, yatazaa na akina mama wa hapa, kwa lengo la kujiimarisha kiuchumi hatimaye kuitawala ardhi yetu kijanja tusipokuwa makini
 
Katika picha hii kuna kitu cha kujifunza ambacho si cha kawaida, Nidhamu na subira ya hao wachina wakati wa kupanda na kushuka. Hebu fikiria huo umati ukiamua kugombea na kupitia madirishani kama ilivyo kule Mbagala na Kimala wakati wa asubuhi, vifo vinaweza kutokea hapo

Nakushukuru kwamba hata wewe umeweza kuona jambo ambalo hata Mimi nimeliona. Cha pili ni kwamba nimeona kama kuna watu wameona hawawezi kusafiri katika hali ya namna ile na hivi wameamua kushuka.

Tatu,nimeona watu wanaheshimu na wanawasikiliza watu wanaosimamia usafiri hapo.
 
Yakija huku hayataki kurudi
Ndio maana wanajazana Tanzania, na wanagoma kurudi kwao, wanang'ang'ania kama luba, wengine huonga mamilioni ya pesa uhamiaji ili waendelee kuishi bongo, hata wahindi nao, shida ni hii hii, overpopulation mijini, ilihali vijijini ni patupu hakuna watu kabisa
 
Back
Top Bottom