Tuwaonee huruma wenzetu wa vijijini!

Tuwaonee huruma wenzetu wa vijijini!

TAWIK

Member
Joined
Nov 6, 2018
Posts
60
Reaction score
87
Ndugu wanajamii forum kwa masikitiko makubwa napenda kuwasilisha machungu ya maisha wanayoyapata watanzania hasa wenye kipato cha chini kabisa.

Watu hawa wanahangaika kwa kukosa maarifa na umasikini uliokithili. Wewe kama msomi ambae mwenyezi mungu amekupa nafasi hiyo adimu na bado ukajikita katika kujilimbikizia mali pasipo kujali jamii yako inayotabika na ukweli unao wewe jicho la muumba wako linakusuta.

Mfano katika jamii yako kuna wimbi kubwa la umasikini na watu wako wanajalibu hata kufuga kuku wakienyeji lakini magonjwa kama mdondo, sotoka, kideli, homa za matumbo na mengineyo yanaangamiza mifugo yao na msaada wao ni wewe mungu anakuona!.

Umekua ni MTU wa kuzunguka baa na usafiri wao badala ya hata kuweka ratiba kwakila kijiji ya kuchanja na kutoa kinga ya magonjwa ya kuku zao inayogalamikiwa na serikali lakini badala yake unafungua duka ili masikini hao wasio na chochote wakanunue tiba hizo.

Halafu bila ya aibu mbele ya luninga unashauli wajitibie wajitibie kitaalamu wenyewe, mungu anakuona. Ni jambo linalowezekana kabisa kuweza kuwawekea ratiba ya kuchanja mifugo kama kuku kwa nguvu ya serikali na matokeo kuwa chanya.

Mbona mbwa mnawatibu huko town lakini mifugo kila MTU ajitibieeee! Ka! Jamani sijui tumelogwa na nani?
 
Kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe maandiko yanasema. Ni wazo zuri ila acha kila mtu aonje machungu ufahamu urudi.
 
Kila mja ni mchunga na ataulizwa kutokana na kile alichukuwa anakichunga
 
Mkuu usijumuishe watu wote wa bush. Baadhi tuko bush ila tunamiliki mashamba, nyumba nzuri za mil 60, usafiri na wengine wapo mjini hata kodi tu inasumbua.

Miaka ya nyuma tulikuwa hatuna umeme ila sasa fresh yani umeme upo, barabara ya lami imepita (barabara kuu) maji ya kutosha, naenda Dodoma, Dar, Arusha kuuza mazao any time
 
Hao hao wanaoteseka utashangaa kuambiwa ndio wapiga kura wakubwa!
 
Ndugu wanajamii forum kwa masikitiko makubwa napenda kuwasilisha machungu ya maisha wanayoyapata watanzania hasa wenye kipato cha chini kabisa.

Watu hawa wanahangaika kwa kukosa maarifa na umasikini uliokithili. Wewe kama msomi ambae mwenyezi mungu amekupa nafasi hiyo adimu na bado ukajikita katika kujilimbikizia mali pasipo kujali jamii yako inayotabika na ukweli unao wewe jicho la muumba wako linakusuta.

Mfano katika jamii yako kuna wimbi kubwa la umasikini na watu wako wanajalibu hata kufuga kuku wakienyeji lakini magonjwa kama mdondo, sotoka, kideli, homa za matumbo na mengineyo yanaangamiza mifugo yao na msaada wao ni wewe mungu anakuona!.

Umekua ni MTU wa kuzunguka baa na usafiri wao badala ya hata kuweka ratiba kwakila kijiji ya kuchanja na kutoa kinga ya magonjwa ya kuku zao inayogalamikiwa na serikali lakini badala yake unafungua duka ili masikini hao wasio na chochote wakanunue tiba hizo.

Halafu bila ya aibu mbele ya luninga unashauli wajitibie wajitibie kitaalamu wenyewe, mungu anakuona. Ni jambo linalowezekana kabisa kuweza kuwawekea ratiba ya kuchanja mifugo kama kuku kwa nguvu ya serikali na matokeo kuwa chanya.

Mbona mbwa mnawatibu huko town lakini mifugo kila MTU ajitibieeee! Ka! Jamani sijui tumelogwa na nani?
Mbona machalii wa Arachuga wamesema kwao hamna magarama yaani mahindi shambani,maharage shambani na kuni ni mabua ya mahindi!mtoa mada utakuwa unateseka[emoji23] [emoji23]
 
Ha ha has haaa hapana rafiki yangu ongea na nafsi yako na muumba wako juu ya watu wenye hali ngumu huwa unajisikiaje? Au huwa unapotezea. Basis jua mwenyezi mungu huitaji msaada wako juu yao
 
Back
Top Bottom