Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,941
Hivi MSD ni sehemu (read shirika au taasisi) ya serikali, ina maanisha nini kuikopesha serikali? usahihi ungekuwa taasisi nyingine (hospitali) za serikali
kuwa shirika la umma maana yake lipo chini ya serikaliMSD ni shirika la umma.
Wapo chini ya sheria ya mashirika ya umma
kuwa shirika la umma maana yake lipo chini ya serikali
hahahah kabisaWamebadili lugha maaana ile ile