BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Wakuu habarini za weekend.
Nakumbuka kuna uzi humu uliletwa ukiwa na taarifa kuwa ile service charge ya kila mwezi imeondolewa kuanzia mwezi November mwaka huu 2018 na barua iliwekwa humu ambayo imesainiwa na mamlaka husika.
Sasa mimi leo nimeletewa bili ya maji ikiwa na service charge tena iliyokamilika kabisaa.
Nipo mkoa wa Mbeya.
Sasa wakuu naomba ufafanuzi kwa mwenye kulijua hili jambo.
Natanguliza shukrani.