Msaada

bioto

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
1,261
2,095
Wakuu habari za muda huu, naombeni msaada takriban yaapata mwezi kila nikila chakula sishibi kabisa hata nikila kiasi kingi. Imefikia hadi kwa siku nakula zaidi ya mara tano na bado nitateseka kwa njaa.Ushauri tafdhali wakuu
 
Nenda hospital upime choo kama una minyoo.
 
Wakuu habari za muda huu, naombeni msaada takriban yaapata mwezi kila nikila chakula sishibi kabisa hata nikila kiasi kingi. Imefikia hadi kwa siku nakula zaidi ya mara tano na bado nitateseka kwa njaa.Ushauri tafdhali wakuu
Ngoja waje wataalamu wa afya pole sana
Ila kama umeanza kula cha arusha acha
 
Mimi kuna misimu hua nakula zaid ya mara 4 hadi najishangaa yan halafu baada ya miez kama miwili najikuta nakula kawaida sasa sijui na wewe ndo ivo!!
 
Back
Top Bottom