MSAADA: Wataalamu wa diplomasia ufafanuzi

MSAADA: Wataalamu wa diplomasia ufafanuzi

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
25,307
Reaction score
40,941
Naenda moja kwa moja hoja, nafuatilia live matangazo ya JPM na Uhuru kenyatta,ila kuna jambo binafsi kwa uelewa wangu mdogo, nyimbo za taifa wakati zinapigwa umeanza wimbo wetu na kufuata wa Kenya,je ni sawa? Binafsi naona inatakiwa uanze wa mgeni then wa mwenyeji unamalizia.

Diplomats,nitoe tongotongo.
 
Swali lako kama umeliuliza kwa makusudi au kwa kutumwa halitajibiwa, narudia kana umetumwa au kwa makusudi kutuingiza kwenye mtego, hatutoingia kwenye huo mtego
 
Swali lako kama umeliuliza kwa makusudi au kwa kutumwa halitajibiwa, narudia kana umetumwa au kwa makusudi kutuingiza kwenye mtego, hatutoingia kwenye huo mtego
Mkuu kama hujui siyo lazima ucomment unaweza kupita tu,maana ni fallacy
 
Back
Top Bottom