Ni miezi karibia mitatu sasa Azam Habari wamepotea hewani na hawaonekani tena Stesheni ya Azam two, katika king'amuzi chao. Lakini chakushangaza wanadai taarifa yao ya habari inaonekana mda uleule...
Mfungwa mmoja katika jimbo la Tennessee nchini Marekani atauawa kwa kiti cha umeme baada ya kudai kuwa sindano ya sumu itasababisha ateseke.
David Earl Miller, ambaye amekuwa kwenye hukumu ya...
Mfungwa mmoja katika jimbo la Tennessee nchini Marekani atauawa kwa kiti cha umeme baada ya kudai kuwa sindano ya sumu itasababisha ateseke.
David Earl Miller, ambaye amekuwa kwenye hukumu ya...
Jamani nini kinasababisha kujiuma ulimi na mdomo frequently? Mdomo ukiuuma ni very painful, extremly very painful. Kujiuma kunaletwa na nini hasa kama unatafuna, ni tahadhali gani uchukue mtu...
Mara kadha wa kadha tumesikia serikali yetu ipo kwenye vita ya uchumi (Economic War). Kwa miaka ya hivi karibuni hii vita ya uchumi imekuwa ikihusisha mataifa makubwa mawili, Marekani na China...
Katika movies nyingi za kinigeria, utakuta nyimbo zimetungwa kutokana na theme yenyewe ya movie..kama ni binti masikini anayeteswa utakuta wimbo unamuongelea yy, kama ni wanafunzi wako vyuoni...
Jamani platzadiiz anasema akaunti yake akiingia inasema oops something went wrong alafu inamletea linki aliyowahi kuiweka alafu inasema kama itafunguka tar 30/1/2019 MSAIDIENI
Teknolojia ya Uhandisi Jeni au Genetically Modified Organisms (GMO) inaenea kwa kasi sana dunia kote katika Nyanja za Kilimo (Mbegu za Vyakula), Afya (Madawa na Chanjo), Biodiversity (Bayoanuai...
Habari wana jf, Kichwa cha habari hivi kuna mamma yoyote ya kufanya ambayo itamfanya mtumiaji wa hii mitandao ya simu hasa TIGO kutokupokea ujumbe wa kutoka haya makampuni ya ubashiri???? Unakuta...
Bila kupepesa macho hapa tukiri tuu kuwa namba inasomeka kisawasawa.
Kuanzia dec 05 bei zimebadilika ambapo bei ya chini ambayo ni mkoani dar kwa petrol ni 2436 kwa lita. huku diesel ikiwa 2436...
Waungwana kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi katika local channel angalau hii nilikuwa naielewa hasa kwa upande wa movie na tiba, lakini ni wiki kadhaa sasa hii station haipo...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu nipo mzima wa afya ninapambana na maisha.
Screenshot hapo chini ni online portal ya Secretariat ya ajira ya kuratibu nafasi zote...
Nasikia lilijengwa na NSSF kwa kutumia mafao ya wastaafu kiasi cha bilioni 260, je limeshaingiza bilioni ngapi hadi sasa?
Pia kuna ile Dege village ambayo NSSF imetumia bilioni 1,300 nadhani(Hii...
Habari,
Concern yangu ina wiki mbili sasa hawaifungui laini yangu na hakuna sababu za msingi, si kwenye maduka yao, huduma kwa wateja 100 wala kwa e mail.
Nimtandao gani mbadala naweza kuenjoy...
Oparesheni kubwa ya uokoaji inaendelea nchini Japan kuwatafuta wanajeshi watatu wa Marekani bbada ya ndege mbili zilizokuwa na wanajeshi saba kugongana na kuanguka baharini.
Wanajeshi wawili...
Katika maisha yangu sitakaa nikope tena hizi hela zinazoitwa za MOTO.
Biashara ya ukopeshaji wa fedha hizi hufanya na watu wenye mitaji ya kutosha na wanajiwekea riba zao wanazojitakia na...
Ni lini utakuja kutembelea kiwira rungwe na mbeya kiujumla japo tuamini kuwa CCM inautambua mchango wa wanambeya katika kuifanya ccm iwe madarakani.
Bila kusahau kupita barabara ya kk ikuti ileje...
Mjue siyo yeye tu anayekimbia,wamekwishakimbia wengi,huwezi ukakaa sehemu hapaeleweki,TRA wamekuwa kama wehu mara mkuu wa wilaya anakuja na makamera ya waandishi wa habari unasikia weka ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.