Mafuta bei juu tatizo liko wapi??

Bani Israel

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,448
2,394
Bila kupepesa macho hapa tukiri tuu kuwa namba inasomeka kisawasawa.

Kuanzia dec 05 bei zimebadilika ambapo bei ya chini ambayo ni mkoani dar kwa petrol ni 2436 kwa lita. huku diesel ikiwa 2436 kwa lita, bei hii kama kawaida yake hupanda kulingana na umbali ambapo hadi tabora bei ni 2591 kwa lita na hapo hatujafika kigoma hadi bukoba wala maeneo mengine ya mbali.

Wakuu wembe ni Ule ule na namba ni zile zile lazima tuzisome.
FB_IMG_1544099521626.jpeg
 
dah buku 5 lita mbili tu wenye ma brevis watayauza sana huu msimu..View attachment 958033
Hapa ndio tunaona umuhimu wa mababywalker. Pamoja ya kuwa wadada hawatotuangalia tena ila hatupandi daladala.

Seriously hili ni janga kwa kweli. Serikali liangalieni hili, replan your strategies. Maana tunaona the path you chose inaongeza maafa. Waziri wa utalii, ungeanza wewe kutoa makodi na leseni zisizo na lazima ili tupate watalii wengi. Raisi sijui kama uliona video iliotrend miezi kadhaa kuhusu uhamiaji kuwadeport foreigners kisa tu serikali yako haiku update website yao in time, pia haikuinform authorities za kigeni juu ya changes mlizozifanta. Watumishi wako wakawajibu kwa lugha za kudharau nakuwadeport. Je mnadhani watakao ona hili watataka kuja Tanzania?

Kenya endeleeno tu kupromote Mount Kenya. Sisi wenyewe, Mount Kilimanjaro hatuipromote na bado tunaziba daraja. Anyway nilitaka kuagiza Vanguard, now naenda beforward kuongeza sare ya jiji, Toyota IST.

-callmeGhost
 
Nyie watu munaishi wapi? Mi niko Tabata nilipoona hizi comment zenu ilibidi nipite dukani kwanza kabla sijacomment kitu nimekuta Mkate 1000...! sasa nyie munaishi wapi?
Wewe utakuwa unakula mikate inayotengenezewa bakery bubu zilizojazana tabata kwenye nyuma za watu
 
Hapa ndio tunaona umuhimu wa mababywalker. Pamoja ya kuwa wadada hawatotuangalia tena ila hatupandi daladala.

Seriously hili ni janga kwa kweli. Serikali liangalieni hili, replan your strategies. Maana tunaona the path you chose inaongeza maafa. Waziri wa utalii, ungeanza wewe kutoa makodi na leseni zisizo na lazima ili tupate watalii wengi. Raisi sijui kama uliona video iliotrend miezi kadhaa kuhusu uhamiaji kuwadeport foreigners kisa tu serikali yako haiku update website yao in time, pia haikuinform authorities za kigeni juu ya changes mlizozifanta. Watumishi wako wakawajibu kwa lugha za kudharau nakuwadeport. Je mnadhani watakao ona hili watataka kuja Tanzania?

Kenya endeleeno tu kupromote Mount Kenya. Sisi wenyewe, Mount Kilimanjaro hatuipromote na bado tunaziba daraja. Anyway nilitaka kuagiza Vanguard, now naenda beforward kuongeza sare ya jiji, Toyota IST.

-callmeGhost
Umenena vema mzee baba, FACTS!
 
Tupate ulinganifu wa bei kwenye nchi jirani hasa Kenya, kama kweli bei ya crude oil imepanda basi hata Kenya bei zitakuwa juu, otherwise Serikali inafeli big time.

Pamoja na yote kodi zimezidi sana aisee...
 
Back
Top Bottom