WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka Watanzania ambao hawajajiandikisha waende kujiandikisha ili waweze kupata kitambulisho cha taifa kwakuwa sio jambo la hiari bali ni lazima...
Na Ahmed Rajab
SAYYID Aydarus bin Abdullah bin Sumayt, au Habib Aydarus kama wengi walivyozoea kumwita, alikuwa mcha Mungu wa kupigiwa mfano. Akipendwa mno na wenyeji wenzake wa mji wa Tarim...
Kwema wakuu!
Kampuni nyingi binafsi zimeshawapunguza wafanyakazi wake ili kubana matumizi. Na baadhi ya kampuni zingine kuhamishwa nchini au kufa kabisa maana ustawi wake umekuwa mdogo.
Serikali...
RWANDAIR to use Accra as its West African feed for its 2019 flight to New York (Kigali-Accra-New York) using an Airbus A330 Neo, as competitor Kenya Airways cuts down its frequency on the newly...
Siku zote chombo cha moto kiwapo barabarani anaeona mauza mauza ya barabarani ni dereva peke ake,
kikipita kibwengo anaeona ni dereva peke ake,
gari ikiwa na hitilafu anaejua ni dereva peke ake...
Dj Mack a.k.a G mashine yule mzee wa Acheche production nimethibitisha yupo humu JF.
Picha linaanza hivi;
Wiki kadhaa nyuma nilianzisha uzi hapa Jukwaani nikiomba mwenye Movie/Filim...
Mwaka 1519 Kamanda mmoja wa kikosi cha Kihispania aliyeitwa Hernan Cortes alienda kukivamia kisiwa cha Veracruz cha nchini Mexico.
Alipowasili ufukweni aliamuru askari wote 600 na mabaharia wote...
Mungu ametujalia akili na utashi lakini juhudi ni muhimu ili kuweza kufanikiwa. Nilitia juhudi Mungu akanijalia hiki.
Nilikuwa sina uchaguzi wa masomo mimi, sijui mwana art ama mwanasayansi...
nimekuwa nikijisikia wivu sana naposikia wenzangu wanaposimulia jinsi mabavyo wametapeliwa. naona wivu kwa nini wao tu mimi hata siku moja haijawahi kutokea kwangu na miaka yangu hii ya 40s...
Habari hii nimeinyaka jana, na nikawa naulizwa kama ni ya kweli. Sikuweza kukana wala kukubali, lakini ina ukweli fulani ndani yake, kwa sababu hii hata katika fukwe za Tanzania kama vile...
Kikokotoo mafao chazidi kupingwa! CWT yasema' kanuni hiyo mpya ina ukakasi na ni maumivu...
... Kanuni mpya kwa wastaafu wenye mipango ya kufanya biashara baada ya kustaafu ni kikwazo kikubwa...
Angalia maeneo ya kazi, na maeneo mengine mengi ukiajaribu kumdodosa mtu uliye nae karibu utakuta ana ugonjwa either wa kuambukizwa au sio wakuambikizwa.
Kama sio kitambi ( malnutrition) utakuta...
Natamani sana kujua kitambulisho changu kimefikia hatua gani katika kutengenezwa
Kile kibendera sijui kimeshawekwa au bado yani dah sijui nitajuaje
Pia kuna zile rangi rangi za bendera ya Taifa...
Mfungwa mmoja katika jimbo la Tennessee nchini Marekani atauawa kwa kiti cha umeme baada ya kudai kuwa sindano ya sumu itasababisha ateseke.
David Earl Miller, ambaye amekuwa kwenye hukumu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.