Mapato ghafi daraja la Nyerere yamefikia bilioni ngapi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
41,021
Reaction score
47,110
Nasikia lilijengwa na NSSF kwa kutumia mafao ya wastaafu kiasi cha bilioni 260, je limeshaingiza bilioni ngapi hadi sasa?
Pia kuna ile Dege village ambayo NSSF imetumia bilioni 1,300 nadhani(Hii ni sawa na flyover kumi) nao umeshaingiza mapato ya bilioni ngapi hadi sasa? Na je, wastaafu ambao fedha zao ndio zimetumika kufanya uwekezaji huo, watapata nn?
 
Zile ni fedha za wastaafu, ni vyema wakajua namna zilivyowekezwa na gawio lao linaendaje
sio vema serikali kumpangia mtu matumizi ya fedha zake.iwaache watumishi wafaidi jasho lao walilosotea miaka mingi.mpango wa sasa ni uharamia /ujambazi wa kidola !!
 
Aisee
 
Nasikia lilijengwa na NSSF kwa kutumia mafao ya wastaafu kiasi cha bilioni 260, je limeshaingiza bilioni ngapi hadi sasa?
Pia kuna ile Dege village ambayo NSSF imetumia bilioni 1,300 nadhani(Hii ni sawa na flyover kumi) nao umeshaingiza mapato ya bilioni ngapi hadi sasa? Na je, wastaafu ambao fedha zao ndio zimetumika kufanya uwekezaji huo, watapata nn?
20,000,000*365=7.3B kwa mwaka.
 
mapato ya serikali siku hizi ni siri uoni hata TRA huwa hawatangazi tena.
 
Back
Top Bottom