Oparesheni kubwa ya uokoaji Japan baada ya ndege mbili za jeshi la Marekani kugongana na kuanguka baharini

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Oparesheni kubwa ya uokoaji inaendelea nchini Japan kuwatafuta wanajeshi watatu wa Marekani bbada ya ndege mbili zilizokuwa na wanajeshi saba kugongana na kuanguka baharini.

Wanajeshi wawili waliokolewa. Mmoja wao yuko hali nzuri kwa mujibu wa wa wizara ya ulinzi nchini Japan. Hali ya mwanajeshi mwingine haikujilikana mara moja.

Ndege hizo zilikuwa za KC-130 na F/A-18 kutoka kambi ya Iwakuni karibu na Hiroshima.

Vyombo vya habari vya Marekani vinasema ndege hizo zilianguka wakati wa kuongezwa mafuta zikiwa angani.

Jeshi la wanamaji halijathibitisha rasmi hilo likitaja kisa hicho kuw hitilafu.

Kulikuwa na wanajeshi watano kwenye ndege ya C-130 na wawili kwenye ndege ya F-18. Mmoja wa wale waliookolewa alikuwa kwenye ndege ya kijeshi, kwa mujibu wa maafisa wa Japan.

Taarifa kwennye mtandao wa Facebook iliyochapiswa na kikosi cha wanamaji ilisema ajali hiyo ilitokea umbali wa kilomita 320 ktoka pwani.

Ndege za Marekani zilikuwa zimepaa kutoka kambi ya Iwakuni na zilikuwa kwenye mazoezi ya kawaida wakati hitilafu hiyo ilitokea.

Waziri wa ulinzi nchini Japan Takeshi Iwaya alisema ndeege tisa za Japan na meli tatua zinashiriki katika oparesehni ya uokoaji.

_104637381_050738324-1.jpg
Haki miliki ya pichaAFPImage captionNdege ya F/A 18E Super Hornet kwenye meli ya USS Ronald Reagan
Mwandishi wa BBC mjini Tokyo anasena kuwa kuongeza mafuta kutoka kwa ndege moja kwenda nyingine hewania na oparesheni hatari hususan wakati inafanywa usiku.

Anasema haijulikani hali ya anga ilikuwa ya aina gani lakini kulikuwa na mawingu mengi usiku na mvua kwennye visiwa vya Japan.

Ndege ya KC-130 ni aina ya ile ya C-130 iliyoboreshwa na hutumiwa kungezea ndege zingine mafuta zikiwa hewani.

Ndege ya McDonnell Douglas F/A-18 Hornet ni ndege ya kivita ya kushambulia na inaweza kubeba makombora ya kila aina na mabomu.

Marekani ina zaidi ya wanajeshi 50,000 walio nchini Japan, zaidi ya 18,000 kati yao wakiwa ni wanamaji.
 
Wafe tu...
 
Vurugu na mazoezì mnaenda kufanyia nchi za wenzenu nchiñi kwenu mnawaacha akina Jada steven, mandingo, keĺly divine wabandune tu
 
Hawa jamaa wanawaza vita tuu, hawajiamin kbsa,
futuhi land siku ya uhuru makomandoo wetu wanashindana kupasua matofali, kuendesha malori na kupigana kwa chaga, asalaaaaaale
 
Nimewaza kama hii ajali ingetokea bongo makumi na mamia wangeathrika kwakweli.

Mpaka saa hizi tungekuwa tunashangaa na viongozi wakiwa kwenye vikao vya maamuzi na kusubiri posho
 
Vurugu na mazoezì mnaenda kufanyia nchi za wenzenu nchiñi kwenu mnawaacha akina Jada steven, mandingo, keĺly divine wabandune tu

Wanajua sana kurubuni, imagine Japan ipo mbali sana kiteknolojia lakini wamerubuniwa na wamekubali, sembuse Africa tunajifanya kupingana na teknolojia
 
Back
Top Bottom