Habari wana jf, Kichwa cha habari hivi kuna mamma yoyote ya kufanya ambayo itamfanya mtumiaji wa hii mitandao ya simu hasa TIGO kutokupokea ujumbe wa kutoka haya makampuni ya ubashiri???? Unakuta toka asubuhi ni
Mara DAKA PESA
MOJA SPESHO
INSTAMOJA
BIKO
TATU MZUKA
MKEKABET
SUPERBET
Yani Hakuna wakati u nap at all sms ya maana kutoka kwao ni KAMALI TU!!
ninaomba kama kuna anayejua basi anisaidie hata kama ni app ambayo natakiwa niidownload nitafanya hivyo.
Wao hasa tigo nimeshawapigia ila tatizo ndio limezidi.!Leo customer care mmoja nimemuambia mpaka 31/12/2018 ikiendelea basi ni kuvunja vunja line ya Tigo maana mmmhhh.
Naomba kuwasilisha