Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama unawaza kuwa kiongozi basi jifunze/funzwa mambo haya makuu: 1 face your fears 2 build discipline muscle 3 be optimistic 4 stop complaining 5 learn to learn 6 listen more 7 measure results 8...
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Nimechelewa dak 1 tu check in wamenizuia kabisa pamoja na kubembeleza kote kule halafu naenda kusogeza tiketi mbele wanadai 255 Ikabidi nikakate air Tanzania tiketi mpya kwa 230
6 Reactions
52 Replies
6K Views
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Luzango Khamsin amemhukumu kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya Sh 300,000 dereva wa gari aina ya Noah, Rashid Ally...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Linapokuja suala la kuingizwa mjini haijalishi wewe ni born town au wakuja ni "timing" tu. Kuna kipindi michezo ya kulizana pesa ilikua mingi sana, nakumbuka kuna mwaka katika mishe mishe zangu...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi Baba wa familia akisema haya kwa watoto wake tumueleweje? Wanangu mtaishi kama mashetani....Labda hatupendi au? Au huenda tumeudhi? Wanangu atakayeendelea kubaki hapa mjini ni kidume...Sasa...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Gene Editing: inasemekana mwaka 2018 wataalamu wameweza kurekebisha gene katika miili ya binadamu. Hii maana yake kama mtu ana gene inayobeba ugonjwa hiyo gene inaweza kurekebishwa na mtu akawa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Membe anaitwa akajieleze kwa kutishia uhai wa chama chenu,source ni Musiba kwamba The superb ,master Spy B.MEMBE anataka kugombea Urais 2020 Mmerukwa na akili,mmepanick mnahangaika naye lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijajua tatizo hasa ni wapi, abiria wapo wengi mpaka kuzidi na tunalipa cash, Gerezani kituo kikubwa saa 8 mchana huu dirisha la ticket moja ndio linafanya kazi, Mabasi hasa ya kimara baada ya...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Kuna mwanangu mmoja amekuwa akipata sifa nyingi juu ya haiba ya muenekano wake kupitia mabinti wengi ikiwamo hata washkaji kwa kumuambia ana muenekano bomba sana lakini chakushangaza akiingia...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Wanabodi Nimepokea bad news ya tukio la kifo cha mwanafunzi mmoja wa Shule ya Msingi ya Kijichi, baada ya kuangukiwa na ukuta wa shule hiyo asubuhi hii. Source ni SMS news tip. Habari hii...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari wandugu, Naomba kujuzwa hili kwa mwenye uwelewa zaidi, mimi nilikuwa muajiriwa secta binafsi ila kuazia mwezi wa pili mwaka huu ajira yangu ilikuwa terminated,nimekuwa nikifuatilia mafao...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanzoni walikuwa posta wakahamia kapripoint jirani na BOT,sasa hawapo tena.Mwenye kujua wapi wamehamia jamani asaidie, watu wengi nilikuta wanaangaika. MWENYE KUJUA WALIKOAMIA ASAIDIE
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wana bodi. Leo asubuhi nikiwa na ka baby walker kangu nimepigwa mkono na trafic. Anasema yuko kwenye ukaguzi hivyo akaingiza no kwenye mashine gari ikasoma inadaiwa 37,000. Kwenye kumbu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu! Kama unahitaji laini ya uwakala ya M-pesa njoo Private Message, bei maelawano. Niko Dar
0 Reactions
1 Replies
938 Views
1. You think about feelings. Emotional intelligence begins with what is called self- and social awareness, the ability to recognize emotions (and their impact) in both yourself and others. That...
1 Reactions
0 Replies
743 Views
Hakuna mtanzania asiye jua kuwa Sera za TCRA kuhusu ving'amuzi sio rafiki kwa raia wala kwa wamiliki wa media lakini hawataki kuibadilisha hiyo Sera na wametia pamba masikio yao ili wasisikie...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu hizi friji ubora wake upo vipi na bei zake je zikoje,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huduma ya Tax kwa njia ya mtandao imekuwa suluhisho kwa abiria wengi kinachoshangaza haya makampuni waameweka nauli ndogo zinazomfaidisha mteja na sio dereva UBER na Taxify mnafanya madereve...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii tamaduni ilianzia maeneo ya pwani hasa kwa wazaramo ndio ilikuwa tabia yao yaani mtu mzima bado anaishi kwao hana kazi yoyote, anaenda kuzalisha huko alafu mke na mtoto analeta nyumbani wazazi...
21 Reactions
61 Replies
5K Views
Mwalimu mmoja amepoteza kazi baada ya kuwaambia wanafunzi wake kuwa Santa Claus ama maarufu kama Father Christmas hayupo ulimwenguni. Mwalimu huyo alikuwa akofundisha darasa la kwanza huko New...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom