Airtel huenda hawana haja na loyal customers

Airtel huenda hawana haja na loyal customers

Random

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
791
Reaction score
744
Habari,
Concern yangu ina wiki mbili sasa hawaifungui laini yangu na hakuna sababu za msingi, si kwenye maduka yao, huduma kwa wateja 100 wala kwa e mail.

Nimtandao gani mbadala naweza kuenjoy nikawasahau kabisa mana nimekata tamaa nao japo nimekuwa mteja zaidi ya miaka 8 au 10, kwa sasa sina jinsi
 
Tatizo ni nini? Na Kwanini imefungiwa?
 
Hizi bando zao za data pekee bila sms wala dakika za kupiga za siku wiki na mwezi
Screenshot_20181206-172150.jpeg
Screenshot_20181206-172128.jpeg
Screenshot_20181206-172113.jpeg
 
Na hizi ni za data na sms na dakika kwa siku wiki na mwzi NB: hivi Vifurushi ni kwa laini ya chuo sio ya kawaida so kama unataka kuenjoy tafuta laini ya chuo zinapatikana hata kama ww sio mwanachuo. Kwa tsh 2000 au 3000 ikizidi ni 5000 tu mimi nmeshakua addicted na laini za chuo hata iwe elf50 mi ntanunua maana siwezi kutumia laini ya kawaida aisee.
Screenshot_20181206-172038.jpeg
Screenshot_20181206-172015.jpeg
Screenshot_20181206-171952.jpeg
 
Airtel siku za karibuni wamekuwa wakifunga tu laini.Wanasema ukahakiki usajili upya.Mie yangu imefungiwa Sina mpango wa Kurenew nimebakiwa na TTCL na tigo nataka niondoke kwenye kumiliki malaini mengi
 
Ni kweli hata ya kwangu imefungwa nilipofuatilia wakasema ameshapewa mtu mwingine! Imenishangaza sana maana nimeitumia kwa zaidi ya miaka10 halafu imepewa mtu mwingine bila hata kunijulisha
 
Back
Top Bottom