Ukanda wa Gesi, nchini Tanzania
Kumekuwepo hofu hapa nchini Tanzania kufuatia Kampuni ya Nishati ya Royal Dutch Shell kutiliana saini na Jimbo la British Columbia (Canada), pamoja na Serikali ya...
Wakuu, Salaam.
Mtu aliyepoteza dira/mwelekeo ktk maisha, kazi au biashara, sifa au tabia zake ni zipi? Au ni vitu gani vinaonekana kwa mtu huyo vinavyoashiria kuwa hayuko kwenye right track...
Ndg. Zangu nimeamua kuandika hapa ili tuone tutawasaidia vipi vijana wa K'KOO MTAA WA MZIZIMA-BONDENI.Juzi nilishangaa kuwaona baadhi ya wabunge wakilia kutokana na athari za madawa ya kulevya...
Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) inalishikilia gari aina ya Benz Actros lenye namba za usajili T. 290 ABC mali ya Kampuni ya Atlantic Marketing ya jijini Dar
Gari hilo lilikamatwa Wilayani Ngara...
Jamani nini kinasababisha kujiuma ulimi na mdomo frequently? Mdomo ukiuuma ni very painful, extremly very painful. Kujiuma kunaletwa na nini hasa kama unatafuna, ni tahadhali gani uchukue mtu...
Na Malisa GJ
KESHO NI NZURI KULIKO JANA.!
By Malisa GJ,
Mwaka 1960 serikali ya kikaburu ya Afrika Kusini ilifanya mauaji ya halaiki kwa raia wasio na hatia waliokua wanaandamana kupinga udhalimu...
Bei za rejareja za mafuta yaliyoingizwa nchini kupitia bandari ya Dar inaonesha Petroli imepanda kwa Tsh. 40/lita, Dizeli imepanda kwa Tsh. 50/lita na Mafuta ya taa imepanda kwa Tsh. 88/lita
Pia...
Kuna kamchezo Fulani kachafu sana kanafanywa na wamiliki wa shule za private ( Nursery and Primary ).Usipokuwa makini unaweza kuingia kingi.
Ni hivi nasomesha Watoto wawili shule mbili...
Ukiwa kwenye kazi kupata kazi huwa ni rahisi sana,connection na watu tofauti huwa inaongezeka tena wengine wanatamani wakutoe pale ulipo kwa salary zaidi.
Ngoja uwe huna kazi uone hata wale...
Hivi karibuni Msanii RayVanny aliachia wimbo mpya unaoitwa Mwanza akiwa na Diamond Platinumz.
Baada ya siku kadhaa kupita Baraza la Sanaa taifa "BASATA "likaamua kuufungia wimbo wao wakitoa...
Sheria ya mafao kwa Wastaafu inatamka kuwa mstaafu atalipwa kwa miaka 15.5 baada ya kustaafu. Sasa swali linakuja. Je kama bahati nzuri Mwenyezi Mungu kakuweka kuishi zaidi ya miaka hiyo miaka...
MKUU wa Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, Tano Mwera amesema wazazi na walezi wa wanafunzi wanaopata mimba, wamekuwa kikwazo kikubwa kushindwa kuendelea kwa kesi za watu wanaotuhumiwa kuwapa...
Polepole angekuwa selo
Dr slaa angekuwa keko
Dr bashiru angetumbuliwa mlimani asingekuwa katibu mkuu wa ccm
Katambi tunge kuwa nae beach tunasubili ajira
Alfornce mawazo angekuwa yupo hai
Lisu...
Habari wakuu,
Nasikia mtu ukipata ajira serikalini huwa ni permanent mpaka unastaafu. Je, kuna vitu vyovyote vinaweza kupelekea mtu kuachishwa kazi au kupoteza kazi?
Kama swali linavyo uliza kwenye mada tajwa,naomba nieleweshwe katika ilo maana nimepata Sana ukakasi wakati nikilifikilia ili. Na nikwanini mungu akutaka tukaishi kwenye sayari nyingine akaamua...
'Huu ni mjadala, haina budi kugombana bali kujenga hoja, na ndio maana mumeona tumeweka hizo round table' Maria Sarungi,
'Sichori katuni zangu kumkomoa mtu Bali ninafanya kazi yangu ili kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.