Kuna kidume alikuja jimboni kwake akamwambia atoe mikono mfukoni, kwa unyenyekevu wa kiwango cha lami akaitoa mikono kutii amri.Ipe caption View attachment 958353
Fahari wawili hawakai zizi moja! Pale angemropokea, anajua nini kingetokea, mpaka wanamnyang'anya kipaza sauti!Kuna kidume alikuja jimboni kwake akamwambia atoe mikono mfukoni, kwa unyenyekevu wa kiwango cha lami akaitoa mikono kutii amri.