Naomba kuuliza hili

EveningStar

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
262
162
Habari wakuu,

Nasikia mtu ukipata ajira serikalini huwa ni permanent mpaka unastaafu. Je, kuna vitu vyovyote vinaweza kupelekea mtu kuachishwa kazi au kupoteza kazi?
 
Selikalini kuna mkataba pia mf. utapewa mkataba wa miaka miwili (2)au mitatu ( 3)kwa ajili ya kukuchunguza kama unafaa au haufai!!!.
 
Back
Top Bottom