NAOMBA KUELEMISHWA

NAOMBA KUELEMISHWA

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Sheria ya mafao kwa Wastaafu inatamka kuwa mstaafu atalipwa kwa miaka 15.5 baada ya kustaafu. Sasa swali linakuja. Je kama bahati nzuri Mwenyezi Mungu kakuweka kuishi zaidi ya miaka hiyo miaka 15.5 wataendelea kukulipa mpaka kifo chako?.
 
Hulipwi, halaf kuish miaka 90 kwa dunia ya leo ni sifa na woga wa kufa
 
Huwezi kujua. Mungu anaweza kukuweka hata mpaka miaka 100 baada ya kustaafu.
 
Back
Top Bottom