Mashabiki wa RayVanny Morogoro waimba Mwanza Nyegezi

Mashabiki wa RayVanny Morogoro waimba Mwanza Nyegezi

Joined
Sep 17, 2018
Posts
25
Reaction score
23
Hivi karibuni Msanii RayVanny aliachia wimbo mpya unaoitwa Mwanza akiwa na Diamond Platinumz.

Baada ya siku kadhaa kupita Baraza la Sanaa taifa "BASATA "likaamua kuufungia wimbo wao wakitoa sababu kuwa una maudhui ya Ngono ila chakushangaza wimbo huu siku ya WasafiFestival2018 Morogoro mashabiki waliimba baada ya RayVanny kupanda, nimekuwekea link utazame mwenyewe na utoe maoni yako
399303e3ad71e5bff573adca142da9b4.jpeg
 
Hivi karibuni Msanii RayVanny aliachia wimbo mpya unaoitwa Mwanza akiwa na Diamond Platinumz.

Baada ya siku kadhaa kupita Baraza la Sanaa taifa "BASATA "likaamua kuufungia wimbo wao wakitoa sababu kuwa una maudhui ya Ngono ila chakushangaza wimbo huu siku ya WasafiFestival2018 Morogoro mashabiki waliimba baada ya RayVanny kupanda, nimekuwekea link utazame mwenyewe na utoe maoni yako View attachment 959371
Mwanahabari wa chato huyu[emoji204][emoji204]
 
Back
Top Bottom