Baadhi ya tweets za mjadala wa 'badili Tanzania' unaoendelea kuhusu uhuru wa kijieleza

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DtzQVxBW4AUvFXI.jpg

'Huu ni mjadala, haina budi kugombana bali kujenga hoja, na ndio maana mumeona tumeweka hizo round table' Maria Sarungi,

'Sichori katuni zangu kumkomoa mtu Bali ninafanya kazi yangu ili kujenga mijadala'

'Inaonekana nyuma tulikuwa na sheria ambazo zilikuwa hazitumiki, sasa serikali ya awamu ya 5 imeamua kufanya mabadiliko'

' Kule bungeni kuna kitu kinaitwa studio za bunge, kipo ili kuchuja habari, kitu hiki hakipo kwenye kanuni za bunge'

Rc Makonda amenituma niwaambie #ChangeTanzania kuwa siku nyingine mkiwa na tukio mhimu kama hili mmualike. - @lemutuz

'Hofu imetanda mno kwa 'source' wa habari, hivyo kuathiri 'story balance' kwa 'newsroom'. Mfano Serikali inaweza kufunga maduka ya forex ila wenye maduka hawataki kuhojiwa wala kutajwa majina yao kisa 'hofu'.

'Nimeangalia baadhi ya press kuuliza mawali imekua ningumu, siku moja aliuliza swali la msingi lakini hakujibiwa'

'Je katika news room kuna changamoto gani kwa wahariri hasa kutokana na sheria ya habari..?

'Kule bungeni kuna kitu kinaitwa studio za bunge, kipo ili kuchuja habari, kitu hiki hakipo kwenye kanuni za bunge'

'Kwa sasa mimi kama mwaandishi wa habari mchoraji, pale ambapo katuni yangu inapokataliwa nina fursa ya kuiweka kwenye mtandao wangu tofauti'

'Wanahabari wengi wamekuwa hawafanyi utafiti wa kina katika kutafuta habari kwa kuwa wameshajijengea HOFU lakini ni umuhimu kwao kuzitafuta habari'

'Kuna wakati wananchi wanakuwa na habari lakini mwana habari unapowahoji wanasema usinitaje jina'

'Tujenge taifa la watu wazalendo, kusimamia masuala ya taifa na kukosoa pale tunapoona makosa, kushauri na kutoa suluhisho kwa matatizo yaliyopo katika jamii. Hii itawezekana kama kutakuwa'

#UhuruWaKujieleza husaidia kujua matatizo yaliyopo katika jamii. Ili kujua matatizo yanayoikumba jamii serikali haina budi kukuza

“ Kuna magazeti yameanzishwa mtu mkurugenzi ni yeye, muandishi ni yeye na mhariri ni yeye. Na akiandika Habari yeye pia ndo source lkn hayafungiwi.” ~ Said Kubenea

Kwa wahariri kuedit kwa habari ni kitu ambacho wamekizoea wana habari nyingi tu wamekuwa wakikumbanana kadhia hii hata Mimi kipindi cha B Mkapa baadhi ya content zangu ziliedit na kubadilishwa maneno ~ | @masoudkipanya

'Kuna sheria zinafunga fursa za vijana, kuweka kodi kwenye youtube ni kuua moja ya biashara kubwa sana, vijana wahachwe watumie'
 
Back
Top Bottom