Tatizo la kujuma ulimi na mdomo

Tatizo la kujuma ulimi na mdomo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,003
Reaction score
104,450
Jamani nini kinasababisha kujiuma ulimi na mdomo frequently? Mdomo ukiuuma ni very painful, extremly very painful. Kujiuma kunaletwa na nini hasa kama unatafuna, ni tahadhali gani uchukue mtu usijiume maana it is some sort of reflex action ambayo huna uwezo nayo.
 
hahaa! kumbe ni tatizo la wengi,
Mimi inatokeaga pindi unapokula chakula huku mawazo yanafikiria kitu kingine,hasira,pia kula msosi ukiwa na haraka ya mda i mean umechelewa kwenda mahali.

Pia nadhani kula chakula ambacho hujapendezwa nacho unakula tu ili u survive!

Natumain mchango wng unaweza ukakusaidia.
 
Magego ya utu uzima yanaota. Baadaye itakua hata ukiongea unajing'ata
 
Back
Top Bottom