Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Askari doria huwa njiani masaa 24 wakiwa wanapiga doria mitaani. Hata ikiwa ni usiku wa manane hutakosa kuona askari polisi wakifanya doria na magari yao. Nakumbuka niilipokuwa naishi kwenye...
7 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujuzwa mimi kama mwananchi wa kawaida nisiyekuwa na chama chochote je naweza peleka hoja yangu binafsi Bungeni na ikajadiliwa na kutolewa maamuzi kwa faida ya wananchi wote..? Kama...
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Kwa mara ya mwisho volcano ililipuka mwaka 2007 na kusababisha madhara kidogo kwa mifugo kuuawa na maeneo ya malisho kuharibiwa. Hivi sasa wanajiolojia wa kimataifa wanafuatilia. Ni vema serikali...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Mwaka mmoja baada ya kutoka jela ndio kapotea kabisa kwenye ramani , hasikiki , havumi na ameadimika mithili ya kuadimika kwa Chumvi mwaka 1983 ( watu wa zamani mtakumbuka jinsi watu walivyotumia...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim aliliambia Mwananchi jana kuwa, wameanza kukagua magari nyakati za usiku baada ya kubaini madereva aliowataja kuwa ni wakorofi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wataalamu wa Kufikiri: Mada ya leo inatokana na fundisho kwamba kuna chanzo cha KILA KITU tunachokiona kwa macho,kusikia,kugusa, kuhisi au viwezavyo kuonjwa.Na kwamba sio tu vitu...
15 Reactions
695 Replies
55K Views
Habarini ndugu ? Nilihitimu bsc in physics, niliona tangazo la kazi Muhas walihitaji medical physicist mwaka Jana 2017. Walihitaji medical physicist, aliye na digri ya physics, radiology au...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Rushwa ya Ngono kwa baadhi ya shule binafsi Mkoani Arusha limeelezwa kushamiri kiasi cha baadhi ya Mashirika yanayojihusisha na utetezi kuingilia kati yakidai wamiliki wa shule hizo wanawakumbatia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Muslim aliliambia Mwananchi jana kuwa, wameanza kukagua magari nyakati za usiku baada ya kubaini madereva aliowataja kuwa ni wakorofi...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Wasalaam wakuu. Leo naomba niwe muwazi kabisa: Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwa mzima wa Afya. Mh,WAZIRI lukuvi,kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayotufanyia Watanzania kupitia wizara ya Ardhi. Umekuwa ukitatua migogoro...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe....
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari! Kwa wale wakongwe wa JF napenda kujua hilo. Pia kwa specific years 2017, 2016, 2015 .. Karibun!
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa kipindi cha kama wiki tatu ukipiga au kupigiwa hakuna masikilizano mazuri kunakuwa na kama mawimbi fulani. Leo niliamua kumpelekea fundi simu nikifahamu ina tatizo ndio aliponiuliza kama...
1 Reactions
1 Replies
930 Views
Ivi kijana wa miaka 29 anatakiwa aweje . level zipi anatakiwa afikie kimaisha . Nina jamaa yangu ana miaka 29 ilatabia zake aziendani Na age yake Adi sasa ajawai jilipia Kodi ya chumba ata cha...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Nchi yangu Tanzania imezaliwa siku kama ya leo 9/12/1961 na leo imetimiza umri wa miaka 57 hongera sana Tanzania hongera nchi yangu.
0 Reactions
6 Replies
842 Views
Kwa kweli juhudi zinafanyika nyingi sana ambazo kwa ujumla malengo yake ni kuogeza pato la serikali na hatimaye kuwekeza sehemu ya mapato hayo ktk utoaji huduma za kijamii husani public goods...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeeleza kuongezeka kwa joto juu ya wastani kufikia nyuzi joto 34 na litadumu mpaka Januari mwakani kutokana na kuwapo kwa jua la utosi na mvua hafifu za...
3 Reactions
33 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…