Toyo iliyogongwa yaleta balaa na mwenye gari aina ya Prado kuikosa gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyo iliyogongwa yaleta balaa na mwenye gari aina ya Prado kuikosa gari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, Aug 13, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ajali iliyohusisha pikipiki aina ya Toyo 125cc na gari aina ya Landcruiser Prado iliyokuwa ikiendeshwa na mama mmoja hapo Sakina Silent Arusha mjini majira ya saa tatu oo nusu ya usiku na kumpelekea mauti drv wa Toyo hakika kwa hasira ya madereva toyo wameichoma moto gari na mama kubaki na jina ya kuwa alikuwa gari aina ya Prado. Kweli waendesha Toyo bicky ni soo.
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Kamanda wakati ajali hiyo inatokea mimi nilikua pale Lapiano baa napata moja moto moja baridi na nilishuhudia ajali hiyo ikitokea sio maeneo ya Silent Inn ni maeneo ya Azimio pembeni ya jengo la Lion Safaris! Kweli ni ajali ya kusikitisha na wale jamaa wa Toyo wanaumoja wa hatari sana baada ya yule kijana kufa walianza kwa kuiponda ile gari aina ya Toyota Prado mayai kwa mawe na bado wakawa hawajaridhika wakaipiga kibiriti na kuteketea kabisa!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,162
  Trophy Points: 280
  kamata tia ndani mpaka watajane wote
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Sheria mkononi namna hii!

  Au kwa kuwa dereva alikuwa Prado?
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hawa watu wa toyo mm binafsi sioni kama walichofanya ni sahihi. kwanza wao wenyewe ndio wazembe wakubwa barabarani. wakishagogwa wanajifanya kuja juu wakati pengine kosa ni la mtu wa toyo. inabidi ss traffic wawape mafunzo maalum namna ya kutii sheria barabarani. sio wanendesha rafu halafu wakigogwa wananyanyua mkia.
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  <br />
  Du hujasomeka vizuri mkuu dereva alikuwa prado kivipi yani?
   
 7. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna tukio kama hilo limetokea maeneo ya mbezi beach makonde,karibu kabisa na hospitali ya IMTU takribani wiki mbili na ushee zimepita.

  yenyewe iliusisha dereva wa toyota hiace kumgonga mwendesha pikipiki, kilichofuata waendesha pikipiki walinza kumfukuzia dereva wa hiace.

  dereva baada ya kuona raia wnamfukuzia, akaona heri ya lawama kuliko kuchezea kichapo mzee akapaki gari pembeni na kusepa yeye na konda wake,nakuacha abiria waking'aa macho.

  jamaa walivyofika pale baada ya kuona walengwa waliokusudiwa hawapo,walianza kuishambulia gari hatimae kuichoma moto. Hadi leo hii mabaki ya ile toyota hiace yapo pale kama nyumba ya makumbusho. Kwa walio wenyeji wa barabara ya new bagamoyo, baada ya kupita Engen petrol station na kabla hujafika IMTU kama unaelekea tegeta angalia upande wako wa kulia utaona hiyo kitu. Hawa jamaa noma.
   
 8. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  picha p'se!.mia
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  wivu hutafuta sababu!
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hasira hukuaa kifuani mwa mpumbavu
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Arusha Peeeeoples
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  siwapendi hawa jamaa hawajui sheria kabisa
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ajira za JK na chama chake!
   
 14. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Saaad!
  Kusema kweli madereva wengi tunaendesha gari kwa dharau na uangalifu wa hali ya chini kabisa, ndy maana ajali haziishi; leo mtoto wa shule kagongwa kesho dereva baiskeli; mpaka kilema anagongwa, fikiria mwendo wa mtu mlemavu wa miguu anayejivuta kwa makalio "anagongwa". Sasas uvuvi wetu wa mawazo na less alert ukikutana na dereva bodaboda asiyekuwa hata na leseni wakt amevuta bhange lazima umrambe! Na unapomgonga wewe mwenye gari ndy unaonekana kuwa nakosa kwa sababu tu gari imeleta madhara, bila kujali nani amesababisha hayo madhara. Wasimamizi wa usalama barabarani nao vilaza, na system, miundombinu yote chali!!!!!
  Pole mama, au na wewe ulisharamba mbili wakati huo unawahi kitimoto pale kwaaaa.....hahahaa!
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Binafsi hiyo sijaipenda kabisa, inategemea uzembe ulikuwz wa nani. Pia huyo mama alikosea ukogonga mtu cha kufanya ni kuondoka eneo la tukio kwa udi na uvumba vinginevyo ujiandae na wewe kufa au kuchomewa gari kama ilivyotokea kwa huyo mama. Pole dereva wa TOYO Mungu amlaze mahali pema peponi.
   
 16. GABOO

  GABOO Senior Member

  #16
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  picha za prado iliyochomwa sakina,Arusha. Image003.jpg Image001.jpg Image004.jpg
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  huku ni kutiana hasara bila sababu......hawa madereva wa toyo mara nyingi huwa wao ndio wazembe barabarani...pole yake mama....hapo sasa ukute insurance nayo mmhhh....
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Waambie wakuongezee dau... naona umeanza kuchoka sasa!!
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Week end si unajua na viposho vyenyewe vya 20,000 kwa post 50???
  Njaa tu mkuu!!!
   
 20. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kwamba mara nyingi hawa jamaa wa Toyo hawafuati sheria na mara nyingi wao ni vyanzo vya ajali nilizozishuhudia.Pia wananchi kujichukulia sheria mikononi ni vibaya mno.Inawezekana mwendesha Prado hakuwa na makosa lakini ndio hivyo maji yameshamwagika...Kabla ya kushabikia, fikiria kwamba jana ilikuwa zamu ya Prado,leo na kesho itakuwa nani kama sio mimi na wewe?
  Kuna muda najiuliza hivi wanaotoa leseni na wote wanaojihusisha na usalama wa barabarani hawaoni hili tatizo?Je idadi ya ajali hizi haiwaamshi usingizini?Au mpaka siku wenye hasira kali watakapochoma gari la Mtu Mkubwa ndio watazinduka na sheria zao?
   
Loading...