Habari WanaJF,
Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.
Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.
Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?
Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?
Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..