Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,702
- 31,120
Niwatakie sikukuu njema na baraka tele wana JF wenzangu.
Hii si mada ya kisiasa lakini katika ukurasa huu naweza kuwa nimewakwaza mtu mmoja mmoja chama, kada mkereketwa au mwananchi wa kawaida, nawaomba radhi sana.
Kipindi hiki cha mwisho wa mwaka na Xmas impo mbele yetu, ni kipindi cha amani, kusameheana na kumaliza mwaka kwa upendo.
Uwe chama chochote, tupendane na tuwe na mshikamano kama nchi.
Na Tanzania itabarikiwa.
Amani iwe kwenu, Merry Xmas and Happy New Year 2019.