Cheti cha manjano kinahitajika

Cheti cha manjano kinahitajika

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,328
Reaction score
2,960
Kuna Rafiki yangu anataka cheti cha manjano cha kusafiria

Kama kuna mtu anaweza kutupatia cha Dili pouwa. PM

Update

Ahsanteni kuna mdau kanisaidia nimesha kipata cheti cha manjano.
 
Kwa ajili ya safari unapokuwa unasafiri nchi za nje na kinaonesha kuwa umepata chanjo ya homa ya manjano, lazima wakague airport pamoja na document zingine km passport
Hicho cheti hua kinahusika na nini zaidi...
Mi mgeni maeneo hayo
 
Ahaa kumbe hapo inabidi utafute ma doctor wa upande wa clinic
Ebu mtag dada mmoja huku (mke wa asprin)kwa ushauri zaidi
Kwa ajili ya safari unapokuwa unasafiri nchi za nje na kinaonesha kuwa umepata chanjo ya homa ya manjano, lazima wakague airport pamoja na document zingine km passport
 
Kuna Rafiki yangu anataka cheti cha manjano cha kusafiria

Kama kuna mtu anaweza kutupatia cha Dili pouwa. PM

Update

Ahsanteni kuna mdau kanisaidia nimesha kipata cheti cha manjano.
.
IMG_20181210_125227.jpeg
 
Sio kuwa sisafiri hua nasafiri sana ila sema nakuta kila kitu kishaandaliwa napita free hayo mambo ya ukaguzi wa vyeti tena hata sielewagi
Muongo sana wewe, yaani unasafiri kwenda nje ya nchi na hujui documents gani umebeba au unatakiwa kuwa nazo? Eti kuna mtu keshaandaa wewe unaingia tuu kwenye ndege/basi na unaingia nchi ya kigeni huulizwi chochote? Unaenda na huyo muandaaji kila mahali maana wakati wa kuingia kama ni airport msindikizaji anabaki nje na wakati wa kurudi inabidi uoneshe documents sasa unaonesha nini wakati hujui umebeba docs gani?
 
kama yuko dar es salaam aende pale mnazi mmoja atapata chanjo na cheti kwa pamoja.
 
Jamaa anaogopa anadhani atapimwa na ngoma??
Aende akapate chanjo ndio atapewa hicho kitabu cha njano, hakuna njia ya mkato siku hizi!!
 
Nani kakudanganya njia za mkato zipo
 
Muongo sana wewe, yaani unasafiri kwenda nje ya nchi na hujui documents gani umebeba au unatakiwa kuwa nazo? Eti kuna mtu keshaandaa wewe unaingia tuu kwenye ndege/basi na unaingia nchi ya kigeni huulizwi chochote? Unaenda na huyo muandaaji kila mahali maana wakati wa kuingia kama ni airport msindikizaji anabaki nje na wakati wa kurudi inabidi uoneshe documents sasa unaonesha nini wakati hujui umebeba docs gani?
Kifupi ni kwamba huwa anasafirishwa kama mzigo
 
Back
Top Bottom