Halmashauri ya Wilaya ya Monduli na Halmashauri ya Wilaya ya Meru!

myplusbee

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
3,612
6,153
Salaam Wadau!

Naomba msaada wa namba ya simu ya mkononi ya mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha na mtu anayefanyia Halmashauri ya Wilaya ya Meru. Interest yangu kubwa ni kupata namba ya mtu wa Idara ya Mipango Miji au idara inayohusiana na hiyo, kama vile Idara ya Ujenzi.

NOTE: Shida yangu ni ya kikazi na tayari nimetuma email kwenye halmashauri hizo kwa kutumia email address zilizopo kwenye tovuti zao ambazo ni ded@mondulidc.go.tz, ded@merudc.go.tz na ded@arushadc.go.tz

Kwa maelezo hayo hapo juu, kama kuna wahusika humu jamvini ambao wanaiona thread hii, basi mnaweza kunisaidia moja kwa moja kupitia email ambayo nimewatumia.

Natanguliza shukrani zangu kwenu!
 
Back
Top Bottom