Songolominu
Member
- Feb 23, 2017
- 21
- 12
NMB yatoa msaada wa mabenchi 52 Muhimbili
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee an watoto, Dk Faustine Ndugulile akizungumza baada ya kupokea mabenchi 52 ya kukalia jamaa na ndugu wanaosindikiza wagonjwa katika kitengo cha matibabu ya dharura katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Badru Idd na Katikati ni Mkuu wa Idara ya wagonjwa wa dharura na ajali Dk Juma Mfinanga