Hivi kwanini waendesha pikipiki mara nyingi hugeuka kuwa magenge ya uhalifu?

kwa-muda

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
1,163
2,223
Hivi kuendesha pikipiki uwa kunapunguza uwezo wa mtu kutafakari mambo? Hawa bodaboda akili yao inashangaza sana. Yani ikitokea kasababisha ajali wenzake watamshambulia huyo mwingine asiyekuwa na hatia.
Mfano leo nimesikia kwamba bodaboda akiwa amebeba abiria kwa style ya mishikaki kaingia kwenye njia ya mwendo kasi na gari la mwendo kasi likiwa kasi likamgonga na kusababisha vifo vya abiria na derevea bodaboa akiwa hoi akakimbizwa hospitali.
Inadaiwa wenzake wakaanza kulishambulia kwa mawe gari la mwendo kasi abiria wakiwa bado wako ndani.
Sasa nikawaza aliyekuwa na kosa hapo nani? Kwanza huyu kaingia kwenye njia isiyokuwa yake, pili alikuwa kapandisha watu mishikaki na tatu mle kwenye gari la mwendo kasi kuna abiria ambao wao si madereva wala hawakuwa wakiendesha hilo basi lililogonga hiyo bodaboda.
Katika kutafakari hayo nikakumbuka makundi ya waendesha pikipiki ya Marekani mfano the Outlaws ambapo FBI inachukulia haya makundi kama makundi ya kiharifu. Kwanza wa motto za ajabu eti "We are the people that our parents warned us about"
 
Umeniwahi kuuliza hilo swali ila mi naona ni kwa kuwa kazi ile ni rahisi kupata hivo hata wahuni au watu wasio wasitaarabu wanauwezo wa kuipata na khifanya hivo inakuwa rahisi pi kubadilika na kuwa kibaka au mwizi kabisa hata w kutumia siraha lakin pia usafiri wa pikipiki ndo hawa wanaoupenda kuutumia hao majambazi ma wezi hivo wanakuwa bodaboda mchama uskiu ni wezi wakubwa.
 
Hata mimi naona kuna tatizo!
Hawa jamaa wapo kama nyuki,,,,, hata ukiwatuma wakakuletee jambazi, wanamleta akiwa amekufa tayari

Nimekutana na matukio mengi ya kushangaza kuhusu hawa boda boda

Hii kazi nilishaifanya nikaacha sababu kwanza inakushusha heshima

Wakati mwingine wakiwa wanaenda kwenye mazishi ya mwenzao, utakuta wanajaza barabara yote hadi kuleta shida mpaka kwa watembea kwa miguu

La ajabu na la kutia hasira wanatembea kwa mawenge kama vichaa, huku wamenyanyua matairi ya mbele kana kwamba mzungu alikosea kuweka tairi mbili.
 
Yes hili la mazishi ni tatizo yani wao sheria kwao na usumbufu kwa wenzao hawajali.
Kuna siku bodaboda alinichomekea nikamgonga bahati mbaya yani ilibidi niwe mpole na samahani nyingi maana aliniambia kabisa kuwa nikiwaita wenzangu tu hili gari litabomolewa na wewe utaumizwa vibaya sana
 
Umeniwahi kuuliza hilo swali ila mi naona ni kwa kuwa kazi ile ni rahisi kupata hivo hata wahuni au watu wasio wasitaarabu wanauwezo wa kuipata na khifanya hivo inakuwa rahisi pi kubadilika na kuwa kibaka au mwizi kabisa hata w kutumia siraha lakin pia usafiri wa pikipiki ndo hawa wanaoupenda kuutumia hao majambazi ma wezi hivo wanakuwa bodaboda mchama uskiu ni wezi wakubwa.
Ila ni kweli maana hakuna criteria yoyote ya kuwa bodaboda ila hawa watu, kuna jamaa jirani yangu alikuwa kalewa akapanda bodaboda alipomfikisha kwake kwakuwa alihisi kalewa akamkwapua simu akimbie nayo ilikuwa saa tatu usiku. Kumbe jamaa kalewa lakini anajiweza akamdaka akamvuta pikipiki ikaanguka kaanza kumkwida jamaa bodaboda wenzake wanapita kuona ule ugomvi wakaenda waita wenzao yani huyo jirani yangu alipigwa na bodaboda kama 30 wakiwa na kuni, mawe mapanga yani walimpiga kweli huyo bodaboda akawa anadai kuwa jamaa amekataa kumlipa na kataka kumwibia.
Mwisho wa mchezo tunakuja kumuokoa jamaa kisha tunauliza huyo anayedai kuwa hakulipwa na kakabwa yuko wapi, kumbe ahswakimbia na hakuwa wa kituo cha maeneo hayo, ndo wanaanza jishtukia kuwa wangeua mtu kumbe bure wanaondoka mmoja mmoja
 
Yes hili la mazishi ni tatizo yani wao sheria kwao na usumbufu kwa wenzao hawajali.
Kuna siku bodaboda alinichomekea nikamgonga bahati mbaya yani ilibidi niwe mpole na samahani nyingi maana aliniambia kabisa kuwa nikiwaita wenzangu tu hili gari litabomolewa na wewe utaumizwa vibaya sana
Wengi pia hawajui sheria
 
Hivi kuendesha pikipiki uwa kunapunguza uwezo wa mtu kutafakari mambo? Hawa bodaboda akili yao inashangaza sana. Yani ikitokea kasababisha ajali wenzake watamshambulia huyo mwingine asiyekuwa na hatia.
Mfano leo nimesikia kwamba bodaboda akiwa amebeba abiria kwa style ya mishikaki kaingia kwenye njia ya mwendo kasi na gari la mwendo kasi likiwa kasi likamgonga na kusababisha vifo vya abiria na derevea bodaboa akiwa hoi akakimbizwa hospitali.
Inadaiwa wenzake wakaanza kulishambulia kwa mawe gari la mwendo kasi abiria wakiwa bado wako ndani.
Sasa nikawaza aliyekuwa na kosa hapo nani? Kwanza huyu kaingia kwenye njia isiyokuwa yake, pili alikuwa kapandisha watu mishikaki na tatu mle kwenye gari la mwendo kasi kuna abiria ambao wao si madereva wala hawakuwa wakiendesha hilo basi lililogonga hiyo bodaboda.
Katika kutafakari hayo nikakumbuka makundi ya waendesha pikipiki ya Marekani mfano the Outlaws ambapo FBI inachukulia haya makundi kama makundi ya kiharifu. Kwanza wa motto za ajabu eti "We are the people that our parents warned us about"
ukiendesha pikipiki sawa na kunywa bia mbili.hapo inategemea na kichwa chako.
 
Hukuchukua hata tuvideo tumoja?
 
Lakini hao ndio wanatumiwa na wanasiasa wakati wa karibia uchaguzi. Hasa ccm wanapenda kuanzisha miradi hiyo ya boda kama kichocheo chao
 
Trafic wakianza kuoiga faini na boda boda humu barabarani watanyooka tu shida hawaja jamaa hawapigwi faini inavotakiwa
Kuna jambo uwa linanishanganza mfano unaweza kuwa pale mwenge mataa trafiki kazuia magari ya upande flani lakini boda boda wanapita kutokea huo upande au zuio uwa linahusu magari tu maana sioni trafiki wakichukua hatua
 
Hao ndio wanawalea
 
Wengine tunahisi ili kuendesha boda boda lazima uwe umelewa viroba au umevuta bangi! Ili uweze kuvunja sheria zote za barabarani, kuanzia red lights, kupita njia za mwendo kasi, ku-overtake upande wa kushoto, kupenyeza penyeza katikati ya magari, kupiga honi kama kichaa, kutokuvaa helmet, kwenda kasi kama headless chicken, kuvaa ndala au yebo yebo na kunuka mwili na nguo zako!
 
Ila ni kweli maana hakuna criteria yoyote ya kuwa bodaboda ila hawa watu, kuna jamaa jirani yangu alikuwa kalewa akapanda bodaboda alipomfikisha kwake kwakuwa alihisi kalewa akamkwapua simu akimbie nayo ilikuwa saa tatu usiku. Kumbe jamaa kalewa lakini anajiweza akamdaka akamvuta pikipiki ikaanguka kaanza kumkwida jamaa bodaboda wenzake wanapita kuona ule ugomvi wakaenda waita wenzao yani huyo jirani yangu alipigwa na bodaboda kama 30 wakiwa na kuni, mawe mapanga yani walimpiga kweli huyo bodaboda akawa anadai kuwa jamaa amekataa kumlipa na kataka kumwibia.
Mwisho wa mchezo tunakuja kumuokoa jamaa kisha tunauliza huyo anayedai kuwa hakulipwa na kakabwa yuko wapi, kumbe ahswakimbia na hakuwa wa kituo cha maeneo hayo, ndo wanaanza jishtukia kuwa wangeua mtu kumbe bure wanaondoka mmoja mmoja
Jamaniiii huruma kwa kweli asilimia kubwa ya bodaboda ni wezi na wana vuta bangi akiwa barabarani ana endesha utasema kwenye mashindao jumlisha na sauti kubwa ya mziki.
 
Wengine tunahisi ili kuendesha boda boda lazima uwe umelewa viroba au umevuta bangi! Sababu lazima uwezi kuvunja sheria zote za barabarani, kuanzia red lights, kupita njia za mwendo kasi, ku-overtake upande wa kushoto, kupenyeza penyeza katikati ya magari, kupiga honi kama kichaa, kutokuvaa helmet, kwenda kasi kama headless chicken, kuvaa ndala au yebo yebo na kunuka mwili na nguo zako!
🤣🤣🤣🤣Mkuu umeongea fact
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom