Songolominu
Member
- Feb 23, 2017
- 21
- 12
Fursa za reli ya kisasa zaanikwa.
Wakati mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya standard Gauge Railway (SGR).
Ukiwa umefika asilimia 47,imeelezwa kuwa utaenda sambamba na kasi ya ukuaji wa viwanda nchi hususas katika mkoa wa Pwani wana fursa kubwa ya kuanzisha viwanda vingi kwa sababu reli hiyo itapita katika maeneo yao, hivyo kuwezesha urahisi wa kusafirisha bidhaa.