Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi wakuu mtu ukimpa Asilimia mia kuna shida gani? Hawa Tukta wanaoomba Asilimia 50 wanatarajia watapewa ngapi? Waliagizwa na nani? Tuacheni woga wakuu
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Niko naangalia uzinduzi wa Channel ya Utalii TBC Live Timu ya ufundi ni wabovu mno na mtangazaji pekee aliyeni impress walau kuonyesha vivutio ni wa mbuga ya mikumi tu hao wengine wa ngorongoro...
9 Reactions
34 Replies
5K Views
Je ni vitugani hutambulisha makabila ya watanzania? Naomba nianze na hii kifo cha mende - Wachagga, naombeni mnisaidie kutaja na makabila mengine
0 Reactions
2 Replies
786 Views
My take: kopa,kopa,kopa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nahisi uzembe ndiyo uliosababisha kifo cha mwanamgu, nianzie wapi wadau? Ilikua hivi... Ni mtoto mdogo wa miezi miwili, tulimfikisha hospitali kubwa tu na yenye jina akiwa anasumbuliwa na tatizo...
15 Reactions
185 Replies
22K Views
Mimi ni mgeni hapa jijini siku ya tatu sasa toka nimefika. Nimekuwa nikilisikia jiji hili kwa muda mrefu na nikitamani kufika. Kwa hizi siku tatu moja ya mambo yaliyonishangaza ni kuona wanaume...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Kama JF mods watakuwa wanafuta NYUNDO zinazoponda na kusawazisha JIWE; Je, tutafika? Nyumba itajengwaje bila nyundo kuponda jiwe?Au tuponde dogo? Kama viongozi wetu hawasikilizi maoni ya raia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za Leo wadau, Nikielekea moja kwa moja kwenye hoja, tunashuhudia wanachama mbali mbali wa JF wakileta mabandiko yao humu ya kutafuta kazi na wengine kuomba misaada ya mambo mbali mbali. Si...
15 Reactions
89 Replies
6K Views
“Wakati akina Zitto wakihaha kuungana na EU kusapoti ushoga, Takukuru ya Uingereza sasa yamuunga mkono JPM katika masuala ya msingi; yaungana naye katika vita ya rushwa na vita ya kuhakikisha...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Kwenye hadithi za kale kuna Mfalme mmoja aliwatangazia Watu wake kuwa siku fulani ataandaa Tafrija kubwa kwenye kasri lake ila Asiyempenda asikanyage. Kweli siku hiyo ikafika akajikuta yeye na...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwenye biblia kuna makatazo na maonyo mengi sana. Lakini hili ni katazo gumu sana kwa watu wengi. Katazo hilo kwenye kitabu cha Mathayo 5 "27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini; 28 lakini mimi...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Live hapa Tbc uzinduzi Channel mpya Ya utalii Mkuu wa mkoa ameonyesha kukerwa na île tabia inayoendelea kwa kasi hapa Dar ya Marufuku kupiga picha, kweli kuna maeneo nyeti mfano Ikulu, Kambi za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mishipa ya damu imekatika na hivyo kushindwa kabisa kutembea.Amepata huduma hiyo KCMC na ameambiwa huduma hiyo inapatikana nchini India hivyo anaomba msaada wa hali na mali kuweza kupata tiba ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu hili ni moja kati ya maswali mazuri sana ya falsafa na theolojia Wewe unaonaje?Je ana weza? Msingi wa Hoja ni kwamba Mungu Anaweza yote?Hakuna Limshindalo...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habarini za weekend......... Kuna issue hapa inanidatiza, sijui inamaana gan na mwanzilishi wake ni nan? Mfano, watu wamekuwa wakitumia herufi "k" kuashiria kiwango cha fedha...... Mfano...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Mzuqa Nikikumbuka tu watanzania walivyoteswa msumbiji na kufuzwa kwa kupigw na kuomba msaada wasaidiwe badala yake Jiwe ndio kwanza kuwatukana na kusema wapigwe zaidi. Nikikumbuka hela za...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Wadau rejeeni Mada hapo juu kuna boss mmoja kafanya pati ya kuazimisha sikukuu yake ktk ofisi ya serikali.Je.inakubalika Hiyo?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mala nyingi siku za sikukuu,huwa ni siku ambazo ukienda kwenye nyumba nyingi za wageni utaambiwa nafasi zimejaa, Hii ni kwa sababu watu wengi,hupenda kwenda kupumzika mbali na makazi yao,ya siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom