Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 359
Bado kuna watu ndani ya jukwaa hili ambao toka enzi za nyerere akili zao huwa zinawaza ulaya.
Kwa taarifa yako tunao kujua ulaya ni kwa kawaida sana, na maisha ya kule ni magumu sana wala hakuna ulazima wa kwenda, kufanya nini wakati hapa Tanzani kwetu maisha ni mazuri
ewe hujiulizagi tu kwanini wazungu wanapendelea kuja kutembelea na kutalii Tanzania. ni sababu ya maisha jombaaa.
Kwahiyo kutokwenda au tukizuwiwa kwenda ulaya hatuta athirika na chochote zaidi tuta okoa nauli na pesa ya matumizi ambayo tungeitumia tukiwa huko.
Ndugu watanzania tutengeneze Tanzania yetu ili Wazungu ndio watufuate huku tuliko.