Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,332
- 10,913
Habari wakuu.
Nmefurahi sana kuona uzi wangu ukizunguka mitandao mbalimbali huku watu wakijaribu ku-share na kutoa maoni yao kwa nguvu zote. Hakuna jambo zuri na la heshima kama kuona kazi uliyoiandaa kwa mikono yako na akili yako ikipendwa na kujulikana na watu wengi.
Sababu kubwa zinazoufanya uzi wangu usambae tokea wiki mbili zilizopita mpaka tunaenda kufunga mwaka ni kutokana na uhalisia wa uzi wenyewe.
Uzi wenyewe ulikuwa unakichwa kisemacho.
Maajabu ya wanawake. Kuwaelewa ni ishu iliyowashinda mpaka wanafalsafa - JamiiForums
Kwa waliouona huko mtandaoni kama Facebook, Instagram, na magrupu ya whatsapp mnaweza ungana na mimi.
Najisikia fahari sana kuona kazi yangu ikipokelewa vizuri sana ijapokuwa wanao-copy na kupaste hawani- acknoo lakini angalau wameikubali.