Nimechanganyikiwa: Hii kwenye bendera ya Taifa ni rangi gani?

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
1,153
1,359
Mpaka sasa sielewi. Hii ni njano(yellow) au dhahabu(gold). Mitihani yote nilijibu yellow. Sijui kama wenzangu hamjachanganyikiwa
images.png
 
Inamaana shuleni huwa tunadanganywa kumbe aaah... Toka zamani mpaka sasa hivi wanafunzi wanajua ni njano... Wanajibu mitihani ya kitaifa na wanapewa tiki!
 
Sawa kabisa....

Hakuna rangi ya dhahabu kwenye bendera ya TAIFA. Kuna rangi ya njano ambayo inawakilisha madini yote.
 
Wewe km hujui maana ya rangi zilizopo hadi umri ulio nao basi kaa hivyo hivyo tu .
Nilisema hivyo kusudi kabisa, kwa sababu awamu yenu hii ya tano inapenda sana mabarabara....na wewe uwe unajiongeza kidogo usijione unajua sana,haya nenda saidia dada zako kukatakata vitunguu jikoni.
 
Back
Top Bottom